×

Mke Amchoma Kisu Mumewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mwanamke aitwaye Amina Hamis (32) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma kitu chenye...

READ MORE

Samia: Longido Kulikuwa na DED Mkorofi, Nilimuondoa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa weredi na kuacha malumbano...

READ MORE

Wanakijiji Walia Kubomolewa Nyumba Zao, na Kufukuzwa Kwenye Makazi, Naibu Meya Azungumza

    WAKAZI wa Kijiji cha Mbogo kilichopo Pongwe mkoani Tanga wamelia kubomolewa nyumba zao na kuondolewa kwa nguvu eneo...

READ MORE

Young Thug Aiharibu Rolls-Royce ya Tsh Mil 600

Rapa maarufu wa pande za Joe Biden namaanisha Marekani, Jeffery Lamar Williams almaarufu kama Young Thug anayetamba na albamu yake...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 24

WATU  24 wamefariki katika mafuriko kusini mwa India baada ya mvua kubwa kusababisha mito kufurika, kukata usafiri katika miji na...

READ MORE

Mwanafunzi Aozeshwa kwa Mahari ya Tsh. 330,000 na Nguruwe

MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa...

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Kiwanda Cha Nyama Longido

RAIS Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji, kiwanda cha nyama na kuzungumza na wananchi   

READ MORE

Samia Apindua Meza Kambi ya CHADEMA, Bananga Akubali Yaishe- Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Alikamwe: Mambo 10 Nilioyaona Galaxy vs Simba

1: GREAT WIN Mnyama .. 2 away Goals.. Clean Sheet Safi.. Well Done Mnyama! 🦁 Vile ndivyo Timu kubwa Afrika...

READ MORE

Zuchu ‘Paka’ Kiboko ya ‘Simba’ Mondi

KUPISHA njia ni kukubali kuzidiwa kasi; lakini si kukubali kushindwa kwa sababu safari ina mengi njiani. Zuchu msanii aliyesainiwa na...

READ MORE

Kumbe Tommy na Lyyn Ilikuwa Kweli

MKALI mwingine wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Kings Music, Tommy Flavour amefunguka kuwa, kumbe penzi lake na video vixen...

READ MORE

Magari 3 ya Kifahari ya Mondi Hasara Tupu

ACHANA na saa aina ya Rolex aliyonunua wiki hii nchini Marekani yenye thamani ya shilingi milioni 69 za Kitanzania, siri...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 18, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Rais Samia: Msiseme Mama Anazunguka tu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema ziara anazofanya nchi mbalimbali zinafaida kubwa kwa nchi...

READ MORE

Kada wa Chadema Arudi CCM, Amuomba Kazi Rais Samia

ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha...

READ MORE

Simba Yatakata Botswana

Klabu ya Soka ya Simba SC imeibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana kwenye mchezo...

READ MORE

Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji Yachomwa Moto

OFISI ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo...

READ MORE

Rais Samia Azindua Hospitali Ya Jiji La Arusha – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Oktoba, 2021 amezindua rasmi Hospitali ya Jiji...

READ MORE

Serikali Yaipa Mwanza Bilioni 344 Kutekeleza Miradi Ya Maendeleo

  Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema leo Oktoba 17, 2021 kuwa katika kipindi cha Miezi 6, Serikali ya...

READ MORE