×

Yanga Walifukuza Timu Nzima Mpaka Baba Yangu – Video

UONGOZI wa klabu ya Yanga, kupitia kwa ofisa muhamasishaji wake, Haji Manara, leo Oktoba 26, wamewasihi mashabiki na wapenzi wa...

READ MORE

Fei Toto Ajitengenezea Ufalme Yanga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na...

READ MORE

Amuachia Ujumbe Mzito Mama Yake Kisha Kujinyonga

Kijana Michael Paul (18), mkazi wa Luanzari, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga na shuka...

READ MORE

BREAKING: Simba Yatangaza Kuachana na Kocha Wake

KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote...

READ MORE

Timu 8 Ambazo Simba Anaweza Kupangwa Shirikisho

Timu 8 ambazo Klabu ya Simba inaweza ikapangiwa leo kwenye droo ya Kombe la Shirikisho Afrika: Marumo Gallants – Afrika...

READ MORE

LIVE: UVCCM Wawavaa Chadema Kesi Ya Mbowe “Acheni Mahakama Iamue”

KATIBU Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi, leo Oktoba 26, amezungumza na wanahabari kuzungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo yaliyofanywa na Rais...

READ MORE

Aucho, Bangala Wakomaliwa Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, ni kama ameshtukia kitu baada ya kuwafanyisha wachezaji wake mazoezi ya fitinesi kila...

READ MORE

Mama Aliyejifungua Watoto 9 kwa Mkupuo Aanika Sura Zao

HABARI nyingine njema ambayo inakimbiza urimwenguni ni kuhusu mwanamke mmoja raia wa Mali, Halima Cisse, (26) ambaye mwezi Mei alijifungua...

READ MORE

Tengeneza Mkwanja Kupitia Muendelezo Wa Nba, Efl Na Serie A

Ni wakati wa kutengeneza faida kwa dau utakaloliweka kwenye michezo ya wiki hii. NBA, Carabao Cup na Serie A kuendelea...

READ MORE

Zari Awaka…Nimeolewa Mara Moja Tu!

KWA mara ya kwanza, mwanamama Zari The Boss Lady; baby mama wa staa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz, amevunja...

READ MORE

Kituo cha Biashara na Hoteli Angani Kuzinduliwa

UNAAMBIWA Kampuni maarufu duniani ya Utalii wa angani ya Blue Origin ambayo inamilikiwa na bilionea wa dunia ambaye ni mmiliki...

READ MORE

Nabi: Sababu ya Kiwango cha Fei Toto ni Hii

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi ametaja siri ya kiungo wake mchezeshaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ ya...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Wizara ya Fedha

Rais Samia Suluhu ameitaka Wizara ya Fedha na Mipango kufanya uratibu ujulikanao kama ‘Municipal Investment Financing’ ili kusaidia upatikanaji wa...

READ MORE

Breaking: Ole Gunnar Kusalia Man United

Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo...

READ MORE

Gomes Aanza Kupambana na Sakho Simba SC

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ousmane Pape Sakho amerejea mazoezini pamoja na wachezaji wenzake baada ya kupona jeraha la mguu...

READ MORE

Rayvanny: Paula Mke Wangu, Amkana Fahyma

WAKATI baadhi ya mashabiki wake ‘wakiwa rada’ kusikilizia kama zile video alizojirekodi mwanamama Fahyma akiwa kitandani kwa Rayvanny ni mpya...

READ MORE

Jaji Tiganga Kuongoza Kesi ya Mbowe

Jaji Joachim Charles Tiganga ndiye ataendesha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Jaji...

READ MORE

RPC Kingai Kutoa Ushahidi Tena Kesi ya Mbowe Leo

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumanne Oktoba 26, 2021 inatarajia kuendelea na kesi ya...

READ MORE

Teknolojia Mpya ya Kuchaji Simu Bila Waya – Video

TUNAFAHAMU Teknolojia inavyokuwa kwa kasi sana na wataalamu wanakwambia kuwa kila baada ya miezi 3 au 6 inaibuka teknolojia nyingine,...

READ MORE

Best Naso -Walikuepo (Official Music Video)

 MSANII wa muziki Bongo, Best Naso ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya-Walikuepo.

READ MORE