×

Amuua Mkewe Kisa Kuambiwa Bwege Kitandani

MWANAUME mmoja nchini Kenya, Stephen Nyangeri Mauti mwenye umri wa miaka 25, ameshtakiwa kwa tuhuma za kumuua mkewe Faith Nyatich...

READ MORE

Man United Yawasiliana na Conte Kumrithi Ole

Klabu ya Manchester United ambayo inatajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake, Ole Gunner Solskjaer baada ya kipigo cha 5-0...

READ MORE

Amuuwa Mmiliki wa Paka kwa Hasira

Unaambiwa huko Florida, jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Cliffton Bliss Jr (58) anashtakiwa kwa kosa la kumuuwa kwa risasi...

READ MORE

Beckham Alamba Dili Nono Qatar

Nyota wa wa zamani wa Uingereza na Man Uniyted, David Beckham amesaini dili nono la Paundi milioni 150 ambazo ni...

READ MORE

Azam FC Yamuibua Manara

Afisa Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga...

READ MORE

Mwingine Auawa kwa Mlipuko Uganda

IKIWA ni takribani siku moja tu tangu tukio kama hili litokee, mtu mmoja ameuawa na wengine amba idadi yao haijajulikana...

READ MORE

Hali Tete… Vigogo Man United Wamjadili Ole

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Manchester, Richard Arnold amevunja appointment zote za vikao ili kukutana na Mmiliki wa Klabu hiyo,...

READ MORE

Kocha Simba na Matumaini Kibao Ligi Kuu

KOCHA msaidizi wa Simba Hitimana Thiery amesema kuwa watarudi kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri katika michezo ya ligi...

READ MORE

Sudan Yatangaza Hali ya Hatari

RIPOTI za jeshi kuchukua mamlaka nchini Sudan ni “pigo kubwa ” kwa kipindi cha mpito kuelekea utawala wa kiraia, limesema...

READ MORE

Huko YouTube Hali ni Mbaya, Views kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya ...

READ MORE

Ole Hali Mbaya Man United

#OleOut ndio hashtag inayosambaa katika mtandao wa kijamii wa Twitter mara baada ya Manchester United kupokea kipigo kizito cha mabao...

READ MORE

Kundi la IS Laua Uganda

KUNDI linalojiita Dola la Kiislamu, IS limedai kuhusika na shambulizi la bomu lililoua Mtu mmoja kwenye Mji Mkuu wa Uganda,...

READ MORE

Viatu vya Michael Jordan Vyauzwa kwa Bilioni 3 Mnadani

VIATU vya aliyekuwa mchezaji nyota wa timu ya kikapu nchini Marekani Chicago Bulls, Michael Jordan, vimeuzwa kwa bei ya dola...

READ MORE

Idris Ataja Sababu Kumficha Mpenzi Wake

MWIGIZAJI wa kimataifa wa Tanzania ambaye ni Mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan ametaja sababu inayomfanya kumficha...

READ MORE

Roma Fundi wa Kukinukisha Bongo

ROMA Zimbabwe ndilo jina analotumia kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kama kawaida yake rapa huyu bora Bongo ambaye kwa...

READ MORE

Profesa Jay: Unafki Hautatufikisha Popote

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Leonard Haule ‘Profesa Jay’ anasema kuwa, wasanii wanatakiwa kupendana na kuacha tabia za...

READ MORE

Familia ya Mshukiwa wa Mauaji ya Watoto 14 Yagoma Kuzika

FAMILIA ya mshukiwa sugu wa mauaji ya watoto zaidi ya 10, Masten Wanjala aliyekiri ambaye aliuliwa kwao baada ya kutoroka...

READ MORE