×

Video ya Cardi B ya Rais Mwai Kibaki Yazua Gumzo Kenya

RAPA maarufu duniani kutoka nchini Marekani, Cardi B amewafurahisha Wakenya kwenye mtandao wa Twitter baada ya kutupia video ya mwaka...

READ MORE

Aishi na Kisu Tumboni kwa Miaka 3

David Mlilo mkazi wa nchini Zimbabwe amepanga kuishtaki hospitali ya Hippo Valley Medical Centre baada ya kugundua kuwa madaktari wa...

READ MORE

Muna Love Afanyiwa Upasuaji Kutengeneza Mdomo

Urembo unazidi kuwa ghari mno huku kila mwanadada akifanya lolote ilimradi kupendeza. Hilo linathibitishwa na mwanadada msajiriamali Rose Alphonse maarufu...

READ MORE

Kaze Atangaza Hali ya Hatari Yanga

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amesema siku 15 za kambi ya mkoani Arusha watazitumia kutengeneza muunganiko katika safu...

READ MORE

Ishu ya Onyango, Daktari Simba Ipo Hivi

BEKI kisiki wa Simba, Joash Onyango, amefunguka kuwa kwa sasa anasubiri kuonana na daktari kwa ajili ya kujua siku ya...

READ MORE

Metacha, Makapu Waanza Vizuri Polisi

NYOTA wa zamani wa Yanga, Metacha Mnata na Saidi Juma Makapu, wameanza vizuri kwenye timu yao ya Polisi Tanzania. Metacha...

READ MORE

Sure Boy, Morris Wapigwa Stop Azam

WACHEZAJI waandamizi wa Azam, viungo Salum Aboubakar ‘Sure Boy’, Mudathir Yahya na beki Aggrey Morris wamesimamshwa na uongozi wa timu...

READ MORE

Morrison Ampa Kiburi Gomes Simba SC

BAADA ya Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, kukoshwa na viwango vilivyoonyeshwa na mastaa wake wapya akiwengo Duncan Nyoni na...

READ MORE

Nabi Awaandalia Programu ya Mabao Mayele, Makambo

KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amekiri kuwa ni kweli safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na washambuliaji Fiston Mayele na...

READ MORE

Nabi, Ntibazonkiza Wazinguana Yanga

WAKATI kikosi cha Yanga kikielekea Arusha kwa ajili ya kambi ya siku 10, imeelezwa kwamba, kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Aucho, Bangala Waweka Rekodi Mpya Bara

  MAJEMBE mapya ndani ya Yanga yanayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia, Khalid Aucho ambaye ni kiungo...

READ MORE

Uhaba wa Wanafunzi, Kondoo Waandikishwa Shule

Mkulima mmoja nchini Ufaransa amewashangaza watu ulimwenguni baada ya kuwaandikisha shule kondoo wake 15 ili kukamilisha idadi ya wanafunzi inayotakiwa...

READ MORE

Mlevi Azikwa Kwenye Jeneza la Chupa Ya Bia, Alipenda Sana Kulewa-Video

Huko nchini Ghana kuna video inaendelea kusambaa mitandaoni ikimuonesha bwana mmoja akiwa kwenye jeneza lililoundwa kwa muonekano wa chupa ya...

READ MORE

Bao la Simba Lapita Mataifa Matatu

MATAIFA matatu ilibidi yaungane kutengeneza bao la kwanza kwa Simba kwa msimu wa 2021/22, kutokana na kuwa kwenye wakati mgumu...

READ MORE

Wanne Washikiliwa Na Polisi kwa Mauaji Na Kutelekeza Mwili Wa Marehemu-Video

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Bernard...

READ MORE

Cheed wa Konde Gang Afunguka Alivyoondoka Kings Music – Video

  MWANAMUZIKI Cheed, kwa mara ya kwanza ametembelea studio za Global Radio na kufunguka kuhusu ujio wake mpya akiwa na...

READ MORE

Vodacom Yaiunga Mkono TARURA Utekelezaji wa Malipo ya Maegesho ya Magari Kidijitali

      DAR ES SALAAM. Vodacom Tanzania Plc, inaendelea kusaidia mpango wa kuwezesha mapilo ya kidijitali nchini. Leo hii, kampuni...

READ MORE

Paula Alia… Nitakonda Sana Huku

PAULA Kajala ambaye mpenzi wa msanii Rayvanny ametoa kauli ya kushtua akisema; “Nitakonda sana huku niliko!”   Inafahamikwa kwamba, Paula...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Tozo za Mafuta Kupunguzwa

Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta nchini zenye thamani ya...

READ MORE

Itilima: Waganga Wamiminika Kuchanjwa

WILAYA ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu inatajwa kuongoza kwa idadi ya watu wanaojitokeza kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko19...

READ MORE