×

Ronaldo Avamiwa Na Mashabiki Akitoka Tizi

CRISTIANO Ronaldo juzi alionekana kwenye mazoezi ya timu yake ya Man United kwa mara ya kwanza huku akivamiwa na mashabiki...

READ MORE

Haya Ndio Magari 12 Yonayoshauriwa Kutumika Kifamilia

Sio kila gari imetengenezwa Kwa matumizi ya Kifamilia, na linapokuja suala la kutafuta gari kwajili ya familia inabidi mtafutaji awe...

READ MORE

Griezmann Aahidi Makubwa Atletico

MSHAMBULIAJI wa Barcelona Antonie Griezmann ambaye amepelekwa Atletico Madrid kwa mkopo, amesema ana furaha kurejea tena Atletico huku akisisitiza kuwa...

READ MORE

Yanga Haina Pengo la Djuma Wala Aucho, Nendeni Uwanjani

YANGA inacheza mchezo muhimu sana keshokutwa wakati itakapokuwa ikivaana na Rivers ya nchini Nigeria.Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kuliko...

READ MORE

Wema Azua Mjadala “Napenda Kupigwa na Boyfriend Wangu”

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na...

READ MORE

Biashara Yatua leo Addis Ababa, Uzembe Watajwa

LEO Ijumaa kikosi cha Biashara United kinatarajiwa kushuka dimbani kwenye mchezo wa hatua ya awali ya michuano ya Kombe la...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Ifakara Health Institute, Nurse – ANTICOV Project

    Institute Overview Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record...

READ MORE

Ahifadhi Mwili wa Mamake kwa Mwaka Mzima Ili Apewe Pensheni

MWANAUME aliweka maiti ya mama yake ndani ya chumba cha chini kwa zaidi ya mwaka mmoja wakati akiendelea kupokea malipo...

READ MORE

Kocha wa Simba Kukaa Jukwaani Mechi za CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) imetoa List ya Makocha ambao hawatoruhusiwa kukaa benchi kwenye mechi za CAF....

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Mgeni Rasmi Nmb Marathon

  Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za hisani zilizoandaliwa na Benki ya NMB. Mbio hizo...

READ MORE

LIVE: Machinga Avua Nguo Kutetea Meza Kariakoo, Makala Atoa Tamko| Mbowe Mahakamani Leo

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Jerome Boateng Akutwa na Hatia ya Kumshambulia Mpenzi Wake

MWANASOKA wa Ujerumani, Jerome Boateng amepatikana na hatia ya kumshambulia mpenzi wake wa zamani, na ameamrishwa kulipa faini ya euro...

READ MORE

Bei Imeshuka! Mnada Mkubwa wa Bajaji Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM...

READ MORE

Washindi wa Tusua Mapene ya Vodacom Waeleza Furaha Yao

      Mwezi wa saba mwaka huu, shindano la Vodacom Tanzania la “Tusua Mapene” lilitangaza ushindi wake mkubwa katika...

READ MORE

Rais Samia Aielezea Royal Tour

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa Royal Tour ni kipindi maarufu duniani kitakachotumika kurusha...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo September 10, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 10, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mabasi ya Mwendokasi Yasitisha Safari Mbezi, Mwenge, Kawe

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mabasi yaendayo haraka (Udart), John Nguya amesema wameamua kusitisha safari za Shekilango – Mwenge na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Waliobebana Mshkaki Wafariki kwa Kugongwa na Fuso

WATU watatu waliokuwa wamebebana kwenye pikipiki (Mshikaki) wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na fuso lenye namba za usajili...

READ MORE