MKAZI wa Majengo Sokola, katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Gongo Charles (30), ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kumdai...
READ MOREKufuatia machafuko nchini Guinea, mchuano wa timu ya taifa hilo wa kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Morocco nyumbani...
READ MOREBODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeweka wazi kuwa tayari imekamilisha uandaaji wa ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara...
READ MOREShirika la Reli Tanzania linategemea kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa – SGR kipande cha Makutupora...
READ MOREMSHAMBULIAJI hatari wa Chelsea, anayewika kwenye timu yake ya Taifa ya Ubelgiji, Romelu Lukaku mwenye umri wa miaka 28, amemvulia...
READ MOREMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi (DED), Mkoa wa Morogoro, Joanfaith Kataraiya na dereva wake wamejeruhiwa katika ajali...
READ MOREMSHAMBULIAJI na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uganda (Cranes), Emmanuel Okwi, amesema anaamini ipo siku atarejea kwa mara nyingine...
READ MOREJaji kutoka Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi,Jaji Elinaza Luvanda amejitoa...
READ MOREMsajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kusimamisha makongamano na mikutano ya kisiasa...
READ MORERAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada ya kukaidi agizo la...
READ MOREWAKATI Klabu ya Yanga jana ikicheza mechi nyingine ya ndani ya mazoezi dhidi ya Pan African SC jana, kujiwinda na...
READ MOREMWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake, leo Jumatatu, Septemba 6, 2021 wamefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...
READ MOREMATUKIO ya watu kupoteza maisha ghafla wakati wa tendo, yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara lakini ni wachache wanaoweza kuwa wanajua...
READ MOREMwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera, Nicolaus Ngaiza amefariki dunia saa nne usiku jana Jumapili badaa ya...
READ MOREWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Jumatatu, Septemba 6, 2021 anazindua Vituo vya...
READ MOREBONDIA Mtanzania Hythani Hamza Halfan ama maarufu kama Hassan Mwakinyo wa uzito wa Super Welter amepanda kutoka nafasi ya 24...
READ MOREKIONGOZI wa Kundi la Wapiganaji wanaopinga kundi la Taliban nchini Afghanistan anayeongza vita vikali dhidi ya Taliban katika Bonde...
READ MORETEKNOLOJIA ya kuhifadhi mayai ya uzazi ya mwanamke na manii ya mwanaume imeboreshwa na sasa utunzaji wa mayai hayo utaongezwa...
READ MOREWATOTO pacha wenye umri wa mwaka mmoja ambao walizaliwa wakiwa wameungan nyuma ya vichwa vyao wameweza kuonana kwa mara ya...
READ MORE