×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 7, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 7, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Majaliwa Awapa Shavu Wachezaji Saba

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa amechagua vijana saba kutoka kwenye mashindano ya...

READ MORE

Jeshi la kuwaua Wanigeria hili hapa

YANGA ipo katika maandalizi ya mwisho ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers...

READ MORE

Fountain Gate Princess Wamuunga Mkono Rais Samia

  KLABU ya Fountain Gate Princess imefanikiwa kutimiza lengo la kucheza mchezo wa kirafiki na Gairo Veterans, ikiwa ni katika...

READ MORE

DC Awaka: Sasa Mtajua Kama Wahehe Bado Tunajiua au Tunauaga Wengine

MKUU wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Senyi Nganga amwaacha watu hoi wakati akitoa maagizo kuhusu kusimamia pesa za miradi...

READ MORE

AzamFC Warejea Nchini

KIKOSI cha Azam FC kilichokwenda nchini Zambia kwa ajili ya maandalizi ya ligi msimu ujao kimerejea leo nchini. Azam iliweka...

READ MORE

Gomes Awapa Mtihani Mastaa Wake

SIRI imefichuka kuwa kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes ndiye ameutaka uongozi wa timu hiyo kumtafutia timu kubwa hapa Afrika...

READ MORE

CCM Yatoa Maagizo kwa Serikali Sakata la Bei ya Mahindi – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kununua tani 100,000 za mahindi...

READ MORE

Aucho Aupiga Mwingi Uganda, Yanga Wapagawa

PAMOJA viongozi wengi wa Yanga, kutojua zaidi uwezo wa kiungo wao mpya raia wa Uganda, Khalid Aucho, mmoja wa Wajumbe...

READ MORE

Shikalo, Sheva Waipa KMC Jeuri ya Ubingwa

  BAADA ya kukamilisha usajili na kuwatangaza nyota Miraji Athumani ‘Sheva’ na Faroukh Shikalo, Uongozi wa KMC umeweka wazi kuwa...

READ MORE

Majaliwa: Anzeni Kutoa Huduma Kupitia Vituo vya Huduma Pamoja

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Utamaduni

RAIS Samia Suluhu Hassan, kesho Septemba 7, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania...

READ MORE

Mfahamu Kanali Doumbouya Aliyeongoza Mapinduzi ya Guinea

RAIS wa guinea, Alfa Conde, mwenye umri wa miaka 83, alizuiliwa na wanajeshi wa kikosi maalum (GFS) jana Septemba 5,...

READ MORE

Iddi Pialali Apigwa TKO Uturuki

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali amepoteza pambano la ubingwa wa UBO dhidi ya Arvi Avci kwa TKO...

READ MORE

Dar: Mahabusu 20 Wampiga Polisi, Watoroka

MAHABUSU zaidi ya 20 waliokuwa wakishikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kubaka Mhudumu wa Baa

MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa...

READ MORE

Achinjwa Kisa Deni la Tsh 400,000

MKAZI wa Majengo Sokola, katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Gongo Charles (30), ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kumdai...

READ MORE

Guinea: Mechi ya Kimataifa Yaahirishwa

Kufuatia machafuko nchini Guinea, mchuano wa timu ya taifa hilo wa kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Morocco nyumbani...

READ MORE

Ratiba Ligi Kuu Bara leo

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeweka wazi kuwa tayari imekamilisha uandaaji wa ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE