×

Kimbunga Ida Chaua Watu 41 Marekani

RAIS wa Marekani Joe Biden anasema “uwekezaji wa kihistoria ” unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo...

READ MORE

Drake, Soulja Boy Waachia Mawe Yao Pamoja

STAR wa muziki nchini Marekani, Drake ameamua kukata kiu ya mashabiki wake baada ya kuachia rasmi albamu yake CERTIFIED LOVER...

READ MORE

Mara: Aliyekaa Mochwari Miezi 8 Azikwa – Video

MWILI wa marehemu mzee Wilson Ogeta Owit ( 89) mkazi wa Kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara umeshindikana kuzikwa...

READ MORE

Shigongo: Wasio na Form Four Waruhusiwe Kusoma Vyuo – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametoa mapendekezo yake kuhusu muswada wa maboresho ya mfumo wa elimu nchini...

READ MORE

Mobetto Awaka na Uzi Mpya wa Simba

IKIWA ni dakika chache baada ya Klabu ya Simba kutangaza uzi wake mpya utakaotumika katika mashindano mbalimbali msimu ujao, Mrembo...

READ MORE

Watu 12 Wafariki DR Congo kwa Sumu ya Mgodini

KARIBU watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi...

READ MORE

Mchungaji Achoma Moto Mawigi ya Muumini

Mchungaji Cyril Utomi kutoka Nigeria ameyachoma mawigi na vipodozi vya muumini wa kike kwa madai asingeweza kukutana na Yesu akiwa...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Yaanza Kuunguruma Mahakama ya Mafisadi

KESI ya uhujumu uchumi inayowakabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi leo...

READ MORE

Kauli ya Polepole Baada ya Kuhojiwa na CCM

  Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM leo Ijumaa, Septemba 3, 2021 imewaita Dodoma kuwahoji Wabunge Jerry Silaa na...

READ MORE

Wafanyakazi 7,000 GGML Waipaisha Geita

ZAIDI ya wafanyakazi 7,000 walioajiriwa kwenye kampuni ya uchimbaji wa madini Geita (GGML) wameupaisha mkoa wa Geita baada ya michango...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi CVPeople Tanzania, Curriculum Development and Training Advisor

  Job Description About Pact At the heart of Pact is the promise of a better tomorrow. The promise of...

READ MORE

Cavani Amuachia Jezi Ronaldo

Klabu ya Manchester United imemkabidhi rasmi jezi namba 7 kwa Cristiano Ronaldo ambaye amesajiliwa hivi karibuni. Namba 7 ilikuwa inavaliwa...

READ MORE

Killy x Harmonize – Ni Wewe (Official Audio)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva,  Killy Ft Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ni...

READ MORE

Polepole, Gwajima, Silaa Waitwa Kuhojiwa CCM – Video

WABUNGE watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili...

READ MORE

Simba Yatambulisha Jezi zake Mpya

Klabu ya soka ya Simba imetambulisha jezi zake mpya kwaajili ya mashindano mbalimbali msimu wa 2021-22.

READ MORE

Fiston Mayele, Awatuliza Mashabiki Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kwa kutoa kauli nzito iliyoendana namatarajio ya kuipa mafanikio makubwa...

READ MORE

Kampuni za Simu Zageukia Biashara ya Magari ya Umeme

USHINDANI katika sekta ya mawasiliano duniani unaendelea kushika kasi huku baadhi ya kampuni za simu zikianza kugeukia biashara ya utengenezaji...

READ MORE

Simba Watangaza Viingilio Vya Simba Day 2021 – Video

KLABU ya Simba SC, Ezekiel Kimwaga leo Septemba 3, 2021 anaongea na wanahabari katika mkutano unafanyika katika Hoteli ya Hyatt...

READ MORE

Serikali Yamwaga Bil 15 Kunusuru Soko la Mahindi ya Wakulima – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa Sh15 bilioni kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua...

READ MORE