×

Askofu Gwajima, Slaa Waitwa Mbele ya Kamati

Spika Job Ndugai ameamuru wabunge wawili, Josephat Gwajima na Jerry Silaa kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka...

READ MORE

Naibu Mkuu wa Polisi Uganda, Paul Lokech afariki

JESHI la Polisi nchini Uganda UPDF limethibitisha kifo cha Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Meja Jenerali Paul Lokech. Msemaji...

READ MORE

Mwanajeshi Matatani kwa Kuwalisha Wenzake Keki ya Bangi

MWANAJESHI wa Canada ambaye alilisha wanajeshi wenzake keki yenye bangi wakati wa mazoezi ya kutumia silaha sasa anaweza kuhukumiwa kifungo...

READ MORE

Mapendekezo 7 Tume ya Uchaguzi – Video

WADAU wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imependekeza mambo saba kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Wanaonunua Chapati Zaidi ya 5 Kukamatwa

JESHI la Polisi wilayani Moroto Kaskazini mwa Uganda, wameanza kuwakamata watu wanaonunua chapati tano au zaidi kwa madai ya kwamba...

READ MORE

Taliban Wapiga Msako Nyumba kwa Nyumba

Umoja wa mataifa umeeleza kuwa Taliban wako kwenye msako wa nyumba kwa nyumba kuwatafuta watu waliofanya kazi na vikosi vya...

READ MORE

Mwanasoka Afariki kwa Kudandia Ndege ya Afghan

Mamlaka ya Afghanistan imethibitisha kuwa mwanasoka kijana Zaki Anwari (19) alifariki dunia baada ya kujaribu kuondoka nchini humo kwa kudandia...

READ MORE

Gwajima Amtembelea Mtoto Alieacha Shule Kumuuguza Bibi Yake

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameawata Maafisa Ustawi wa Jamii na...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha Nne Abuni Kifaa cha Kukusanya Mapato

  MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Ufundi ya Iyunga ya Mkoani Mbeya,Yusuph Ng’umbi amebuni kifaa...

READ MORE

Shamsa: Sitaki Wanaume wa Bongo Mnitongoze

NI headlines za staa wa filamu Shamsa Ford ambaye amekataa kutongozwa na wanaume wa kibongo kwa sababu hawana pesa, hawana...

READ MORE

Kufuru: Msafara wa Irene Uwoya Akila Bata Visiwani Pemba -video

  Baada ya kula bata ughaibuni Dubenga {DUBAI} Mrembo wa bongo movie Irene Uwoya ametua visiwani Pemba kwa ajili ya...

READ MORE

Mwalimu Afa kwa Shoti ya Umeme Akizungumza na Simu Kwenye Chaji

MWALIMU wa shule ya upili ya Kimugui kaunti ya Bungoma nchini Kenya  amefariki dunia chumbani kwake baada ya kupigwa na...

READ MORE

Rais Samia Asisitiza Diplomasia ya Uchumi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha mabalozi wateule watatu pamoja na Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Rais Amuagiza Prof. Elisante Kusimamia Haki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema mmoja ya kazi ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 – Video

Rais wa Tanzania, Rais Samia Suluhu akiwa Ikulu, Dar anapokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020 Katika Uchaguzi huo,...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 35 TANESCO, Technician-Geographical Information System (GIS)

  DUTIES AND RESPONSIBILITIES To capture GIS field data in different formats using Global positioning system (GPS), electronic data recorders,...

READ MORE

Nabii Bendera Awachana Wanasiasa na Wachungaji

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufunuo, Bishop Paul Bendera amewashukia baadhi ya viongozi wa siasa wenye tabia za kuongea ongea...

READ MORE

Johora, Diarra Wampagawisha Kocha Yanga

KOCHA wa makipa wa Yanga, Razack Siwa amefunguka kuwa anafurahi kufanya kazi na magolikipa wapya ambao wamejiunga na kikosi hicho...

READ MORE

Wakazi wa Razaba Bagamoyo Waomba Kurasimishiwa Maeneo Wanayoishi

      Wakazi wa eneo la Razaba Kata ya Makurunge, Bagamoyo mkoani Pwani wameiomba serikali iwarasimishie eneo lao wanaloishi...

READ MORE

Twaha Kiduku Abeba Gari Baada Ya Kumchakaza Dullah Mbabe

BONDIA Twaha Kiduku amefanikiwa kushinda kwa point dhidi ya Dullah Mbabe katika pambano la uzito wa kati lililofanyika usiku wa...

READ MORE