×

Nora adaiwa kunasa mimba!

Brighton Masalu MSANII wa kitambo katika tasnia ya maigizo na filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ anadaiwa yuko ‘kitumbo ndii’ na ndiyo sababu ya kukaa kimya…

SOMA ZAIDI

Msanii alewa!

Msanii wa filamu za Bongo, Glasnost Kalinga akilia wakati marafiki zake wakitaharuki. Mayasa Mariwata Na Shani Ramadhani MSANII wa filamu aliyefahamika kwa jina la Glasnost Kalinga…

SOMA ZAIDI

Dk. Cheni afunguka…

Msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ akiweka pozi ndani ya studio za Global TV Online. Brighton Masalu Tangu wakati ule msanii maarufu wa…

SOMA ZAIDI

Zengwe milioni 6 za Kajala kwa Tiffah!

Musa Mateja Imevuja! Yale mamilioni ya staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ aliyommwagia mwandani wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,…

SOMA ZAIDI

Penzi kwa Flora, namshangaa sana Mbasha!

Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Emmanuel Mbasha. MWIMBAJI wa muziki wa Injili nchini, Emmanuel Mbasha ameshinda kesi yake ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili, aliyotuhumiwa kumfanyia…

SOMA ZAIDINo Picture

Nisamehe Latifa-44

ILIISHIA WIKI ILIYOPITA Latifa ameingia ndani ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kuzitembelea hospitali mbalimbali. Anapofika huko, anajikuta akiangukia katika…

SOMA ZAIDI

Kushuka kwa kizazi ( Prolapsed uterus)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii na leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze nyingine. Niliishia pale ambapo nilisema kuwa, kupungua kwa homoni ya ‘Estrogen’ kunaweza…

SOMA ZAIDI

Waziri Aliyekuwa Mchawi-7

ILIPOISHIA WIKIENDA “Kunywa upate nguvu,” akaniambia.  Nikapiga funda moja. Ilikuwa dawa chungu kama shubiri.  “Meza unywe tena.”  Nikajikaza na kuimeza kisha nikapiga funda lingine. Nikalimeza…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-13

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Siku za baba Shua kukaa Arusha zilibaki mbili, lakini akarudi nyumbani kwake Dar bila kuzimaliza. Alifika saa kumi na mbili…

SOMA ZAIDI

Familia ya Kichawi -26

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kama mchawi alitakiwa kumtoa mmoja wa watu wake wa karibu kwa ajili ya kuliwa nyama halafu akawa hana, akasema anakopa, yaani ale…

SOMA ZAIDI


The Angel of Darkness- 13

Shambulizi kubwa la kigaidi linatokea kwenye kituo kikubwa cha biashara nchini Kenya, Kikuyu Mall na kusababisha vifo vya watu wengi, wakiwemo Wakenya, Watanzania na watu…

SOMA ZAIDI

Wema amliza mama Sharo Milionea

Mama wa msanii marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’ akilia. Hamida Hassan Wasanii mbalimbali wa filamu waliomo kwenye Kampeni za CCM kupitia mpango wa Mama Ongea…

SOMA ZAIDI


Matukio ya Coco Beach Idd el Hajj

Mama akijaribu kumuogesha mwanaye kwenye fukwe hizo. Vijana wakiogelea kwa kutumia ‘maboya’. Vijana wakiwa na vifaa vya kuogelea baada ya kutoka kuogelea. Michezo ya bahati…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online