×

Breaking: Karia Aidhinishwa Kuiongoza Tena TFF Miaka Minne

Wallace Karia leo Agosti 7, 2021 amepitishwa na wajumbe wote 81 kuwa Rais mteule wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF)....

READ MORE

Ukiwa Kundi Hili Usichanje Mpaka Ushauri wa Daktari

JOPO la wataalamu wa afya wa mashirika ya Kimarekani nchini, limetaja makundi matatu ya watu ambao hawastahili kuchanjwa chanjo ya...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 3 Startimes, Sales Representatives

DUTIES AND RESPONSIBILITIES Set the sales targets, and elaborate specific programs Develop and maintain the market agents Implement the channel...

READ MORE

Majambazi Wanne Wauawa Lindi

  JESHI la Polisi mkoani Lindi, limefanikiwa kuwaua watu wanne kati ya sita wanaosadikika kuwa ni majambazi, kufuatia majibizano ya...

READ MORE

Ridhiwani Afanya Ziara Tarafa ya Miono, Asikiliza Kero za Wananchi

Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe. Ridhiwan Kikwete jana Agosti 6, 2021 ameendelea na ziara yake katika Tarafa ya Miono kwa...

READ MORE

Wizkid Avunja Rekodi ya Mauzo ya Tiketi London

MKALI kutokea Nigeria, Wizikid ambae time hii amechukua Vichwa vya Habari baada ya kuutaarifu umma kumalizika mapema kwa tiketi za...

READ MORE

Video: Mkutano Mkuu Wa TFF Wafanyika Tanga

LEO Agosti 7, 2021 ni siku ya uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) ambao unatarajiwa kufanyika jijini...

READ MORE

Dj Obza x Harmonize x Leon Lee – Mang’dakiwe Remix (Official Video)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize Agosti 6, 2021 ameachia video  ya wimbo wake wa Mang’dakiwe Remix amemshirikisha...

READ MORE

Watengeza Silaha Wadaiwa Fidia ya Dola Bil 10

Serikali ya Mexico ilifungua kesi dhidi ya watengezaji wakubwa wa silaha nchini Marekani kwa tuhuma za kusababisha vifo na kuchangia...

READ MORE

Mo Amchenjia Chama Kisa Manara Insta!

STAA wa Simba, Clatous Chama Agosti 6, 2021 ameonja joto la jiwe baada ya kuchenjiwa kibao na muwekezaji wa klabu...

READ MORE

Simba Yaipora Beki Yanga, Afichwa Dar

KWA lugha za kwenye vibanda umiza ni kwamba Yanga wamebipu, Simba wakapiga kweli. Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kwamba Yanga...

READ MORE

Muuguzi Arusha Asimamishwa Kazi Kisa Chanjo ya UVIKO-19

Mamlakaa ya ajira imemsimamisha kazi muuguzi Scholastica Leoni Khanje wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mount Meru Arusha kwa...

READ MORE

Kesi ya Kupinga Tozo Miamala ya Simu Yatua Mahakamani

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar...

READ MORE

Shahidi: Sabaya Aliharibu Mfumo wa CCTV, Kamera Zisirekodi

SHAHIDI wa saba katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya...

READ MORE

Chama Atangaza Kuondoka Simba

WAKATI winga wa Simba, Luis Miquissone, akijiandaa kujiunga na mabingwa wa Afrika mara mbili mfululizo, Al Ahly ya Misri, kiungo...

READ MORE

Yanga Yatua Kwa Mghana Fundi wa Pasi

KAMA ulifikiri mabosi wa Yanga wamemaliza kusajili basi unajidanganya, kuna mtu anaitwa Rashid Nortey, raia wa Ghana, yupo kwenye rada...

READ MORE

Lionel Messi Kuibukia Manchester City

BAADA ya taarifa rasmi ku tolewa na Klabu ya Barcelona Agosti 4 zikieleza kuwa, nyota wao Lionel Messi raia wa...

READ MORE

Nandy Siri Yake ya Ghana Yafichuka

WIKI iliyopita sexy lady kwenye tasnia ya Bongo Fleva, Faustina Charles au Nandy alisafiri kuelekea nchini Ghana ambapo safari hiyo...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Coca-Cola Kwanza Ltd, Team Leader Packaging

  Job Description Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity in Manufacturing Department. We are looking for a talented individual...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE