×

Mikoa 10 Kipaumbele Chanjo Corona

SERIKALI imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake...

READ MORE

Yao Aatangaza Kuachana na Grand P

MWIMBAJI na mwanamitindo maarufu nchini Ivory Coast, Eudoxie yao ameanika kuwa penzi lake na msanii maarufu wa Guinea, Moussa Sandiana...

READ MORE

Serikali: Saluni Ziwapime Wateja Joto la Mwili

WAMILIKI wa Saluni na vinyozi wanatakiwa kuwa na vifaa vya unawaji mikono nje ya saluni ambapo kila atakayeingia katika eneo...

READ MORE

Video: Masharti Mapya Yazua Mjadala | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumatatu, Julai 26, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 26, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

DC Nyamagana: Wanawake Changamkieni Fursa Zinazoletwa na NMB

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, Bi. Amina Makilagi amewaasa wanawake wilayani humo kuchangamkia fursa zinazoletwa kwao na benki...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

RC Mtaka Alivyoupokea Mwenge wa Uhuru Ukitokea Singida

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe, Anthony Mtaka amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa Singida Mhe. Bilinith...

READ MORE

Zaidi ya Bil 120 Kukopeshwa Wachimbaji Madini wadogo

Benki ya NMB imepanga kutumia zaidi ya Sh.120 bilioni kutoa mikopo ya mitaji, vifaa na mitambo kwa wachimbaji wadogo wa...

READ MORE

TLS Yaingilia Kati Sakata la Mbowe

  Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeingilia kati sakata la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kikitaka aachiliwe au...

READ MORE

Simba Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho, Ikiipiga Yanga 1-0

KIGOMA is Red! Baada ya Simba kuwabamiza Watani zao wa Jadi Yanga kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Azam Sports...

READ MORE

Mwanamuziki Waziri Ally Azikwa Pongwe, Tanga – Picha

Mwanamuziki Waziri Ally Seif aliyefariki juzi usiku, amezikwa Pongwe, Tanga leo Julai 25, 2021 huku mamia ya watu wakishiriki mazishi...

READ MORE

Video: Simba Yaifunga Yanga Fainali Kigoma Bao 1-0

SIMBA bingwa Azam Sports FederationCup msimu wa 2020/21. Ni baada ya kuichapa Yanga 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliomalizika hivi...

READ MORE

Waziri Ndungulile, Makamba Washiriki Maadhimisho ya Huduma ya Malezi

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndungulile na Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba na viongozi wengine...

READ MORE

Tanzia: Said Hamad El Maamry Afariki Dunia

  MWENYEKITI wa Zamani wa Chama cha soka nchini (FAT) sasa TFF Said Hamad El Maamry amefariki dunia El Maamry...

READ MORE

Kigoma: Mzee Aliyetoka Arusha Hadi Kigoma Kwa Baiskeli Atabiri -Video

 Katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba dhidi ya Yanga inayotarajiwa kupigwa...

READ MORE

Majembe Mapya Yanga Yafungukia Fainali ASFC

MAJEMBE mapya ya Yanga, mshambuliaji Fiston Mayele na beki wa kulia, Shabani Djuma, wamefunguka kuwa wataushuhudia mchezo wa fainali ya...

READ MORE

Maelfu Waandamana Kupinga Sheria za Corona

WATU 3,000  wameandamana nchini Italia kupinga sera za afya za serikali wakati kukianzishwa sheria kali za kudhibiti kuenea kwa virusi...

READ MORE

Huku Makambo, Kule Kazadi Kitawaka Ligi Kuu

KWA namna kikosi cha Yanga kinavyosuka kuelekea msimu ujao wa 2021/22, ni wazi wapinzani hawatoki salama kila wakiingiza mguu uwanjani...

READ MORE

Mapito Ya Lulu Yamebeba Funzo Kubwa

Siyo stori kwamba supastaa kiwango kabisa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE