×

Mzukungo wa Pili na Tatu Hatua ya Makundi Kuendelea Wikiendi Hii

Baada ya kukuru kakara za hapa na pale kwenye mzunguko wa kwanza, Euro 2020 kuendelea wikiendi hii ikiwa ni mzunguko...

READ MORE

Kesi Ya Sabaya Yaahirishwa Arusha -Video

KESI no 27/2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Afiwa na Baba Yake

MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina Juni 14, 2021 amefiwa na Baba yake, Mzee Mpina Gabisi Luchemba kilichotokea...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ujenzi wa Daraja la Tanzanite

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (New Selander) jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Jela Kwa Kuua, Kumla Nyama Mama’ke

Alberto Sanchez Gomez mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa mwaka 2019 baada ya maofisa wa Polisi kupata mabaki ya mwili...

READ MORE

NMB Yakabidhi Serikali Hundi Ya Zaidi ya Bil 21.7

Benki ya NMB imetoa gawio la Sh21.8 bilioni ikiwa ni ongezeko la asilimia 43 ya gawio la mwaka jana ambalo...

READ MORE

Video: Sabaya Kupanda Mahakamani Leo, | Chadema Yakataa Bil…

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania leo Juni 18, 2021-Video

   Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 18, 2021. Usipitwe...

READ MORE

Breaking: Metacha Mnata Asimamishwa Yanga

KLABU ya Yanga  Juni 17, 2021 imemsimamisha kipa wake namba moja, Metacha Boniphace Mnata kwa muda usiojulikana kutokana na utovu...

READ MORE

Kisa Manyama, Simba Yarudi Rasmi Kwa Luhende

BAADA ya kugonga mwamba kwenye usajili wa beki wa Ruvu Shooting, Charles Manyama ambaye ametua Azam FC, Kocha wa Simba,...

READ MORE

Kapombe Amvuta Simba Beki KMC

BEKI wa kulia wa KMC, Israel Patrick Mwenda, amefichua kwamba, amekuwa akivutiwa kwa kiasi kikubwa na uchezaji wa Shomari Kapombe...

READ MORE

Video: Global Habari Juni 17 – Serikali Kupeleka Umeme Vijiji Vyote 2022

 Serikali imeazimia ifikapo 2022 Vijiji na Vitongoji vyote vitakuwa na huduma ya umeme ambapo kwa sasa Wakandarasi wamesambazwa katika...

READ MORE

Kilo 88 za Madawa ya Kulevya Zakamatwa Dar

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata kilo...

READ MORE

Video: Mwili Wa Mzee Matata Wa Mizengwe Wazikwa Dar

 MAZIKO ya Mwigizaji wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya...

READ MORE

RC Shigella: Marufuku Mgambo Kukusanya Mapato

MKUU wa Mkoa wa Morogoro Martin Shigella, amepiga marufuku mgambo wa Manispaa hiyo kuhusika na operesheni yoyote ndani ya mkoa...

READ MORE

Kenneth Kaunda Afariki Dunia -Video

Rais wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo, Juni 17, 2021 akiwa na umri wa miaka 97....

READ MORE

Shigongo: Nataka Wizi na Upotevu wa Mapato Uishe- Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, amezungumza na watumishi wa serikali na kuonya juu ya upotevu wa mapato na kusema...

READ MORE

Azam: Kama si Ubingwa Basi Nafasi ya Pili

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa mipango yao ni kuhakikisha wanamaliza Ligi Kuu Bara katika nafasi mbili za juu...

READ MORE

Video: Ally Mayai Aibuka Baada Ya Kuenguliwa Urais TFF

 MCHEZAJI Mstaafu na mdau wa Soka, Ally Mayai, ambaye pia alitia nia ya kugombea Urais TFF ambapo jina lake...

READ MORE