×

Kampuni Yatangaza Nafasi za Kazi za Kulala

Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi sawa na takribani...

READ MORE

Museveni Aapishwa Kuwa Rais wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameapishwa kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha sita, miaka 35 baada ya kuchukua hatamu kama...

READ MORE

Yanga Yaipa Simba Faida 5 Kuiua Kaizer Chiefs

LICHA ya kwamba mabosi wa Simba wanalalamika kutocheza na Yanga kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo lakini uchunguzi wa Championi...

READ MORE

Hoteli Waliyofikia Simba ni Jiwe Haswa

TAYARI mabingwa wa Tanzania, timu ya Simba wameshawasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Ligi...

READ MORE

Bocco: Tuna Kikosi Imara, Kitatupa Matokeo

JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kikosi bora jambo ambalo linawafanya wawe na imani ya kupata matokeo mbele...

READ MORE

Video: Yanga Wafunguka Shabiki Wao Aliyetoka Kigoma

UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Mei 12, 2021 wamezungumza na wanahabari kuhusiana na shabiki wao aliyetoka Kigoma kwa mguu...

READ MORE

Maroketi ya Israel Yaua Wapelestina 36

WAPELESTENA 36 wameuawa na wengine 250 kujeruhiwa kufuatia shambulio la maroketi ya Israel, Kundi la Wapiganaji wa Kipalestina la Hamas...

READ MORE

Live: Rais Samia Ahudhuria Kuapishwa Kwa Rais Mteule Wa UgandaMuseveni..

RAIS Mteule wa Uganda, Yoweri Museveni, leo Mei 11 anaapishwa kuwa Rais wa Uganda baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu....

READ MORE

nafasi ya kazi Serengeti Breweries Limited, Decision Support Lead – Manufacturing

Decision Support Lead – Manufacturing     Job Description : About Us From Arthur Guinness to Johnnie Walker, our business was...

READ MORE

Manchester United Waipa Man City Ubingwa wa Epl

BAADA ya kipigo cha 2-1 cha Manchester United wakiwa nyumbani dhidi ya Leicester City, kimeifanya majirani zao Manchester City kuwa...

READ MORE

Video: Rais Samia Atua Uganda Kushiriki Uapisho Wa Rais Museveni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini...

READ MORE

LIVE FRONT PAGE​: Hatima Mdee, Wenzake, Baraza Kuu Laitishwa | DPP Aacha Maswali |

🔴#LIVE​: HATIMA MDEE, WENZAKE, BARAZA KUU LAITISHWA | DPP AACHA MASWALI | FRONT PAGE… KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wasaidieni Wabunifu Wachanga

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi na mamlaka ambazo zinashiriki kuendeleza wabunifu wachanga zihakikishe zinawawezesha kubiasharisha ubunifu na uvumbuzi wao....

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 12, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 12, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kamishna wa Ardhi Apiga ‘Stop’ Umilikishwaji Viwanja Kigamboni

Kamishina wa Aridhi Kanda ya  Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesimamisha zoezi la  umilikishwaji wa viwanja vya makazi vilivyopo...

READ MORE

Breaking: Asukile wa Prisons Afungiwa Mechi Tano na Faini

NAHODHA wa kikosi cha Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) michezo mitano na faini ya...

READ MORE

Exim Bank Yatoa Zawadi ya Eid Kwa Watoto Yatima Dar, Mbeya, Shinyanga, Karatu

Dar es Salaam: Mei 11,2021; Benki ya Eximimetoa msaada wa vyakula na vinywaji kwenye vituo vinne  vya kulelea watoto yatima na...

READ MORE

Kocha: Simba Ilijiandaa Kuiangamiza Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa, amefunguka kuwa amesikitishwa na tukio lililotokea juzi Jumamosi katika mchezo wao...

READ MORE