×

Mexico: 23 Wafariki Baada ya Fly-over Kuporomoka

Takriban watu 24 wamefariki dunia na wengine 79 kujeruhiwa baada ya sehemu ya barabara ya juu (flyover) kuporomoka na kusababisha...

READ MORE

Video: Rais Samia na Kenyatta Wafungua Kongamano la Wafanyabiashara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...

READ MORE

Simbachawene: Kitambulisho cha Nida Hakihalalishi Kuwa Raia wa Tanzania

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA) hakuhalalishi Mtu kuwa Raia wa #Tanzania....

READ MORE

Nafsi za kazi Vodacom, Cyber Security Demand & Delivery Manager

Cyber Security Demand & Delivery Manager Posting Country:  Tanzania, United Republic of Date Posted:  03-May-2021 Full Time / Part Time: ...

READ MORE

Mourinho Atangazwa Kuwa Kocha Mpya wa AS Roma

Klabu ya AS Roma ya Italia imemtangaza Mourinho kuwa Kocha wake ikiwa ni wiki mbili tangu kibarua chake kiote nyasi...

READ MORE

Caf Yambana Matola, Atakiwa Kusoma

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa mwongozo kwa klabu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu ujao...

READ MORE

Mbunge: Wananchi Wanapimwa Uraia kwa Wimbo wa Taifa

Mbunge Florent Kyombo amesema wananchi wa Mkoa wa Kagera ambao unapakana na nchi tatu wamekuwa wahanga katika kutambuliwa na kupatiwa...

READ MORE

Onyango Ana Hamu Sana na Yanga

BEKI kisiki na mfungaji wa bao lililoipa Simba pointi moja dhidi ya Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ndani...

READ MORE

Exclusive: Amber Lulu Afunguka Kuzaa, Baba Wa Mtoto -Video

MWANAMUZIKI Amber Lulu ambaye kwa sasa ni mama baada ya kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la ‘Ariana’ miezi michache...

READ MORE

Breaking: Teddy Mapunda Afariki Dunia

HABARI zilizotufikia hivi punde, Mkurugenzi wa Service and Montage Limited, Teddy Hollo Mapunda, maarufu ‘Dada Teddy’ amefariki usiku huu katika...

READ MORE

Yanga Yawekewa Mil 300 Kuiua Simba

TAYARI joto la kuelekea Dabi ya Kariakoo, limeshaanza kupanda, ambapo inaelezwa kwamba, nyota wa Yanga wameahidiwa shilingi milioni 300 ili...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 5, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 5, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Waamuzi Msisubiri Mechi ya Simba, Yanga Ndiyo Muwe Makini

MSIMU wa 2020/21 upo mwishoni, na kuna michuano mingi ambayo inaelekea ukingoni.   Hivi karibuni tumeshuhudia timu za Mbeya City...

READ MORE

Wafahamu Mabilionea wa Dunia Waliotalakiana

William Gates na Melinda Gates wamekubaliana kutalikiana baada ya kuishi pamoja kwa miaka 27 na kufanikiwa kupata watoto watatu. William...

READ MORE

Mabilionea 10 Wanaoshikilia Uchumi wa Dunia

Pengo kati ya watu tajiri na maskini linazidi kuongezeka.Itawachukua miaka kumi watu maskini zaidi kuweza kumudu kuishi vizuri lakini huo...

READ MORE

Rais Samia, Kenyatta Wakubaliana Kujenga Bomba la Gesi

Marais wa Tanzania na Kenya wametangaza hii leo kuwa nchi hizo mbili zimeingia makubaliano ya ujenzi wa bomba la gesi...

READ MORE