×

Jaji Imani Apendekezwa Kugombea Urais Mahakama ya Afrika

Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kutoka Tanzania Mhe. Jaji Imani Aboud amependekezwa kugombea Urais...

READ MORE

Billboard Yatangaza Kumtunuku Drake Tuzo ya Heshima

Billboard wametangaza kumtunuku rapa Drake tuzo ya heshima ya msanii bora wa Muongo (kipindi cha miaka 10). Drake anatarajiwa kutunukiwa...

READ MORE

Nicole Sipendi Sana Umaarufu

MREMBO mwenye figa matata Bongo, Nicole Joyberry hivi karibuni amefunguka kitu asichokipenda sana kwenye maisha yake kuwa ni umaarufu kwa...

READ MORE

Bunge Lajadili Malori Kukwama Bandarini Dar

Bunge la Tanzania limeahirisha mjadala wa Wizara ya Afya kwa takribani nusu saa ili kujadili sakata la malori kutoshusha wala...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 12, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 12, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amanikirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh...

READ MORE

Chama: Wasauz Wanakufa Kwao

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama ameweka wazi kuwa wamejipanga vizuri kwa kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi ugenini katika...

READ MORE

NBC Benki Yazindua Biashara Club Kigoma

BENKI ya NBC imezindua klabu ya wafanyabiashara wa benki hiyo mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya mipango ya benki hiyo...

READ MORE

Anjella – Nobody (Official Audio)

First Lady wa lebo ya Konde Gang Anjella leo Mei 12, 2021 ameachia wimbo wake wa “Nobody ”. 

READ MORE

Polisi Dar: Usalama wa Kutosha Sikukuu ya Idd

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema limeimarisha ulinzi kuelekea Sikukuu ya Eid El Fitr sambamba na...

READ MORE

Yanga Yamwacha Carlinhos Dar Wakitua Mtwara

WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kuondoka leo kuelekea Mtwara kumenyana na Namungo, timu hiyo itawakosa wachezaji wawili ambao ni Carlos...

READ MORE

Kampuni Yatangaza Nafasi za Kazi za Kulala

Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi sawa na takribani...

READ MORE

Museveni Aapishwa Kuwa Rais wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameapishwa kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha sita, miaka 35 baada ya kuchukua hatamu kama...

READ MORE

Yanga Yaipa Simba Faida 5 Kuiua Kaizer Chiefs

LICHA ya kwamba mabosi wa Simba wanalalamika kutocheza na Yanga kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo lakini uchunguzi wa Championi...

READ MORE

Hoteli Waliyofikia Simba ni Jiwe Haswa

TAYARI mabingwa wa Tanzania, timu ya Simba wameshawasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Ligi...

READ MORE

Bocco: Tuna Kikosi Imara, Kitatupa Matokeo

JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kikosi bora jambo ambalo linawafanya wawe na imani ya kupata matokeo mbele...

READ MORE

Video: Yanga Wafunguka Shabiki Wao Aliyetoka Kigoma

UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Mei 12, 2021 wamezungumza na wanahabari kuhusiana na shabiki wao aliyetoka Kigoma kwa mguu...

READ MORE

Maroketi ya Israel Yaua Wapelestina 36

WAPELESTENA 36 wameuawa na wengine 250 kujeruhiwa kufuatia shambulio la maroketi ya Israel, Kundi la Wapiganaji wa Kipalestina la Hamas...

READ MORE

Live: Rais Samia Ahudhuria Kuapishwa Kwa Rais Mteule Wa UgandaMuseveni..

RAIS Mteule wa Uganda, Yoweri Museveni, leo Mei 11 anaapishwa kuwa Rais wa Uganda baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu....

READ MORE