×

Helkopta Yafanikiwa Kupaa Sayari ya Mars

Ndege aina ya helkopta yafanikiwa kupaa juu katika sayari ya Mars. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Marekani wa shirika la...

READ MORE

Nafasi za Kazi 12,625 Mafunzo ya Ufundi Stadi Sekta za Umma

Tangazo la Nafasi  12625  za Mafunzo ya Ufundi Stadi katika sekta za Usafirishaji, Tehama, Madini, Ujenzi, Uzalishaji, Ubunifu wa Mitindo...

READ MORE

Fiston Adaiwa Kutelekeza Familia, Mkewe Amfuata Dar

  KIMEUMANA kwa staa wa Yanga, Fiston Abdulrazak, baada ya taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na staa huyo kudai...

READ MORE

Simba Watamba… Hakuna Yanga Anayeingia First Eleven Simba

SIMBA sasa wana jeuri tupu, na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo, wamekiangalia kikosi chao cha kwanza, wakafurahi sana na...

READ MORE

Video: Madudu Mwendokasi, Mapya Yaibuka – Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nafasi za kazi IRC , PlayMatters Officer

Job Title: PlayMatters Officer Sector: Education Employment Category: Fixed Term Employment Type: Full-Time Open to Expatriates: No Location: Kasulu, Tanzania Job Description   The International Rescue...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 20, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 20, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya Jioni Hii

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ambapo amemteua Prof. John...

READ MORE

Urusi Yawatimua Wanadiplomasia 20 wa Czech

Urusi imewaamuru wanadiplomasia 20 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Czech na kuwapa muda wa siku moja kuondoka mara moja nchini...

READ MORE

Mmoja Ashikiliwa Mauaji Mtangazaji ITV/Radio One

JESHI la Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni linamshikilia mtu mmoja kufuatia kifo cha aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu.  ...

READ MORE

Mourinho Atimuliwa Tottenham

  Tottenham imemfuta kazi Jose Mourinho kutokana na timu hiyo kutokuwa na nafasi ya kushiriki Champions League msimu huu.  ...

READ MORE

Rais Samia Kulihutubia Bunge Aprili 22

Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 22, 2021. Spika wa Bunge, Job Ndugai...

READ MORE

Mkuu wa Shirika la Reli Misri Ajiuzulu Baada ya Ajali Kuua Watu 11

Mkuu wa Shirika la Reli la Misri amejiuzulu baada ya kutokea ajali ya tatu ya treni nchini humo katika kipindi...

READ MORE

Kimeumana! Waziri Mkuu Amtumbua Mkurugenzi wa Fedha DART – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Suzana Steven Chaula baada...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Benki ya Dunia

Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia, Mara Warwick.     Katika...

READ MORE

Wanaswa Wakiiba Simu Game ya Simba na Mwadui

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashilikilia wanaume watatu kwa tuhuma za wizi wa simu za mkononi wakati wa mechi ya...

READ MORE

Shigongo: Tusiwe na Wasiwasi, Mama Samia Yuko Vizuri – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa Watanzania kutokuwa na hofu kwani Rais tuliye naye sasa Mama Samia Suluhu ataendeleza yale...

READ MORE

Mrembo Auawa Baada ya Kumkataa Mpenzi Wake

Ukizitazama picha maridadi za mrembo mwenye miaka 25, Catherine Nyokabi ambaye ameuawa kinyama na mpenzi wake, utatambua kwamba alikuwa mja...

READ MORE

Wanaume Wawili Wapoteza Fahamu Baada ya Kuiba Nguruwe

  Kumetokea tukio la aina aina yake huko Shinyalu, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya baada ya wanaume wawili wanaodaiwa kuiba...

READ MORE