×

Mazito! Rayvanny Kumchana Harmo, Mambo Yawa Mazito – Video

Katika kipindi cha ‘HOTPOT’ Wajuzi wa mambo wamedadavua ishu ya Mwanamuziki, Rayvanny, kumchana mwanamuziki mwenziye Harmonize, kwa madai ya kwamba...

READ MORE

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Pasua Kichwa – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai  amedai kuna upotoshaji mkubwa kuhusu mradi wa bandari ya Bagamoyo. “Tunaposisitiza utekelezaji wa mradi huu...

READ MORE

Kishimba: Wagonjwa Wakopeshwe, Ukikosa Dawa Piga Simu Polisi

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM), amesema ipo haja mtu asipopata matibabu hospitalini, apige simu polisi ili askari wawakamate...

READ MORE

Je! Unajua ni Kwanini Diamond Platnumz Anapenda itel A37?

Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda...

READ MORE

Kijana Ajiua Baada ya Kukataliwa na Mpenzi Wake

  Kijana aitwaye Kitachana Shenani (30) mkazi wa kitongoji cha Senta kijiji cha Makundusi Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amejinyonga...

READ MORE

Mourinho: Son Ana Baba Bora Kuliko Ole Gunnar

Jose Mourinho amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hapo jana siku ya Jumapili baada ya kocha wa Manchester United Ole...

READ MORE

Ndugai Atoa Maagizo Kuhusu Mjadala Ripoti ya CAG

Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa...

READ MORE

Tundu Lissu Aomba Kukutana na Rais Samia

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho mwaka 2020, Tundu...

READ MORE

Mume wa Malkia Kuzikwa Aprili 17, 2021

MAZISHI ya mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip, yatafanyika wiki ijayo, Aprili 17, majira ya saa nane...

READ MORE

Mzee Mwinyi: Rais Samia Ameanza Vizuri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Aprili, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Kigoma: Akatwa Shingo, Wauaji Waondoka na Kichwa

Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Janda wilayani Buhigwe mkoani Kigoma aliyetambulika kwa jina Shinze Mugarama ameuawa kwa kukatwa shingo...

READ MORE

Mbowe: Nimepata Chanjo ya Corona ‘AstraZeneca’

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa...

READ MORE

Coca-cola Yaitambulisha ‘Sisimua Maisha na Fanta’

Kampuni ya Coca Cola Tanzania, imezindua kampeni ya Sisimua Maisha na Fanta katika hafla iliyopambwa na burudani mbalimbali jijini Dar...

READ MORE

Bomba la Mafuta Kuanza Kujengwa Mwezi Huu

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Tanga-Tanzania hadi Uganda...

READ MORE

Tumuunge Mkono Rais Samia, Tusimpuuze JPM

KWA takriban wiki nzima sasa, gumzo mitandaoni limekuwa ni kuhusu mambo mbalimbali aliyoyafanya Hayati Dk John Pombe Magufuli enzi za...

READ MORE

Mabango Yaanza Simiyu

SIKU chache baada ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwatangazia wateule wake kuhakikisha wanashughulikia kero...

READ MORE

Chadema Yataka Kuonana na Rais Samia

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeomba kuonana na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mbowe ‘Sikwenda Nje ya Nchi Kama Mkimbizi wa Kisiasa’

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kuwa hakwenda nje ya Nchi kwa sababu za kiasiasa badala yake...

READ MORE

Watu 70 Wafariki Katika Mapigano Yemen

WATU 70 wameuwawa baada ya kutokea mapigano makali kwenye maeneo matatu tofauti katika kipindi cha masaa 24 huko katika mji...

READ MORE

Madai Kubambikwa Kodi ya Bil 2, TRA Yamuita Mbowe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe ametaja sababu ya kuamua kuondoka nchini na kwenda kuwekeza nchi...

READ MORE