×

CAG: Akaunti ya Jeshi la Zimamoto Imepitisha Mili 261 Batili

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa akaunti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilitumika...

READ MORE

CAG: Wafanyakazi 1,538 SGR Hawana Vibali

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya miradi ya maendeleo inaeleza kuwa wafanyakazi wa kigeni...

READ MORE

Ndugai: Wabunge Muishauri Serikali, Inunue Ndege, Isitishe

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee...

READ MORE

CAG: Wizara ya Maliasili Iliilipa Wasafi Mil 140 Bila Mkataba

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii...

READ MORE

Wasanii Wa Kike Wenye Wafuasi Wengi Youtube

YOUTUBE ni moja kati ya mitandao ambayo kwa kiasi kikubwa inatoa kipimo halisi cha kazi za wasanii. Kupitia mtandao huo...

READ MORE

Mtoto Amuua Mwenzake Kwa Risasi

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Viwege, Pugu jijini Dar es Salaam, anashikiliwa na jeshi la polisi...

READ MORE

Yanga SC: Tutakimbiza KMC Dakika zote 90

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa mwendo wa mazoezi wanayofanya wachezaji wake, anaamini kwamba kwenye mechi za...

READ MORE

Waarabu Waisaidia Simba iiue Al Ahly

NI kufuru ya matumizi ya fedha, ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kile ambacho Klabu ya Simba inaendelea kukifanya huko nchini Misri...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yatua Bungeni

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imewasili bungeni jijini Dodoma leo na Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Atembelea Kitalu cha Uwindaji cha Lake Natron East

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea Kitalu cha Uwindaji wa Kitalii cha Lake Natron East kilichopo Wilayani...

READ MORE

‘Jitu la Kutisha’ Lapata Dili Nono Hollywood

    JAMAA anaitwa Rico “Orc” Ledesma (41) jamaa wa nchini Brazil ambaye alibadili moja kwa moja mwili wake kuwa...

READ MORE

Waliotaka Kumpindua Rais Wafungwa Jela Maisha

MAHAKAMA ya Uturuki imewahukumu wanajeshi 32 wa zamani, kifungo cha maisha jela kwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi lililoshindwa la...

READ MORE

Peter Msechu Awajibu Wanaomdhihaki

MSANII wa Bongo Fleva, Peter Msechu amenyoosha maelezo kwa baadhi ya watu wanaomshambulia mitandaoni kuhusu muonekano wake kwa kusema hawezi...

READ MORE

Professor Jay – Utaniambia nini (Official Video)

 Msanii wa Bongo Joseph Haule maarufu kwa jina ‘Profesa Jay’ ametoa wimbo mpya wa ‘Utaniambia nini’.  

READ MORE

IGP Sirro Aagiza Operesheni Dawa za Kulevya

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Dar es...

READ MORE

Hope: Mtoto ‘Mchawi’ Aliyetupwa Dampo na Wazazi Wake

Hii ni makala inayomuelezea mtoto Hope, aliyetupwa dampo na wazazi wake akituhimiwa kuwa ni mchawi, na baadaye akaokotwa na Mama...

READ MORE

Majaliwa: Asanteni Watanzania kwa Uzalendo na Mshikamano

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewashukuru Watanzania wote kwa kuonesha mshikamano na uzalendo wa hali ya juu wakati wa kutangazwa na...

READ MORE

Live: Mawaziri Wawekwa Kikaangoni, Maswali na Majibu Bungeni

NI mkutano wa 3 wa Bunge la 12, kikao cha tano, umefanyika leo Aprili 08, ukiongozwa na Naibu Spika wa...

READ MORE

Rais Ramaphosa Amteua ‘Mo’ Kuwa Mshauri wa Uchumi

RAIS wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemteua mfanyabiashara kijana nchini, Mohamed Dewji (Mo) kuwa kwenye jopo lake la watu watano...

READ MORE