×

Samia: Hatutavumilia Uvivu, Uzembe, Wizi na Ubadhilifu – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema jitihada zaidi zinahitajika kukuza uchumi na kupambana na umasikini kwa sababu licha ya...

READ MORE

Rais Samia Kukutana na Akina Mbowe, Zitto – Video

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema atakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini kuweka mwelekeo wa kuendesha...

READ MORE

Wanaosema Hayati Magufuli ‘Aalipewa Sumu’ Waje Tuwasikilize – Video

  Rais Samia Suluhu Hassan, amewaonya watu wote ambao wanaodhani kwamba Hayati Dk. John Pombe Magufuli ameondoka na mipango yake...

READ MORE

Samia: Tumepitia Kipindi Kigumu Baada ya Magufuli Kufariki

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki, wabunge na Watanzania akisema kifo...

READ MORE

ATCL Linaokana Kama Halina Thamani Sababu ya Madeni – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia namna ya kulilea Shirika la Ndege nchini (ATCL) kimkakati ili lijiendeshe...

READ MORE

Rais Samia: Nitadumisha Mazuri Yaliyopita, Yaliyopo na Kuleta Mapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan analihutubia Taifa kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

SBL kuendelea kuchangia maendeleo ya kilimo nchini kupitia elimu

Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imedhamiria kuendelea kutengeneza maisha bora kwa vijana na wakulima nchini kupitia programu...

READ MORE

Syria, Israel Zashambuliana Tena kwa Makombora

Syria na Israel zimeshambuliana tena kwa makombora, huku kila upande ukidai kudunguwa la mwenzake mapema alfajiri ya leo.    ...

READ MORE

Serikali Kuajiri Watumishi Wapya 44,096

Wizara ya Nchi Ofisi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imesema kuwa katika mwaka wa fedha wa 2021/22...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Bunge kwa Mara ya Kwanza – Video

   Ikiwa Watanzania 8,224,271 pekee ndiyo wenye uhakika wa matibabu nchini, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema mipango...

READ MORE

Bunge Latengua Kanuni Ili Viongozi Waingie Bungeni

  Bunge la Tanzania leo Alhamisi Aprili 22, 2021 limetengua kanuni ya 160 (1) ya kanuni za kudumu za chombo...

READ MORE

Wabunge Wapigwa Marufuku Tai Nyekundu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge kutovaa tai nyekundu leo jioni Alhamisi Aprili 22, 2021 wakati Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Ratiba Kamili Rais Samia Atakavyohutubia Bunge kwa Mara ya Kwanza

Leo Alhamisi Aprili 22, 2021 kuanzia saa 10 jioni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge kwa mara ya...

READ MORE

Bodaboda Asakwa kwa Kumbaka Mwanafunzi

  Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamsaka Pascal Fisoo, mkazi wa Kijiji cha Soraa, Babati mkoani Manyara ambaye ni dereva...

READ MORE

Shilole Afunga Ndoa na Rommy

Msanii Shilole amefunga ndoa na mchumba wake Rommy, Shilole amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram na hii inakuwa ndoa yake...

READ MORE

Saido, Kocha Mpya Yanga Wakaa Kikao Maalum

  Kocha mpya wa Klabu ya Yanga Sc, Nasreddine Nabi amezungumza na mchezaji Saido Ntibazonkiza mara baada ya mchezo wao...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 56 Tanesco, Artisan – Electrician

Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) is a Parastatal organization established by Memorandum and Articles of Association incorporated on 26th...

READ MORE

Chad: Waasi Watishia Kumtoa Madarakani Rais wa Mpito

  VYAMA vikuu vya upinzani nchini Chad vinasema uteuzi wa mtoto wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Idris Deby, Mahamat...

READ MORE

Marekani: Binti wa Miaka 16 Apigwa Risasi na Polisi

Ma’Khia Bryant amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na kile kilichodaiwa kuwa...

READ MORE

Video: Lissu Atoa Sharti Kurudi Nyumbani | Kinana Aibua Mjadala – Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE