×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 23, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 23, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Rais Assoumani: Kifo cha Magufuli ni Pigo Kubwa kwa Comoro

Rais Azali Assoumani wa Comoro amesema kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ni pigo kubwa kwa nchi...

READ MORE

Yanga Yanga Princess ‘Ubingwa Lazima’

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga Princess, Edna Lema amefunguka kuwa, mpaka sasa bado hakuna uhakika wa bingwa wa Ligi...

READ MORE

Waziri wa Afya wa Ujerumani Kuchunguzwa Kashfa ya Barakoa

Waziri wa afya wa ujerumani Jens Spahn anaingia kwenye msururu wa wanasiasa wanaotajwa kuhusika na sakata la kunufaika na manunuzi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Viongozi Kumuaga Rais Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa...

READ MORE

Kauli ya Mwisho ya Magufuli kwa Rais Samia- Video

  “Samia usiwe na wasiwasi kuhusu afya yangu, nenda kaangalie miradi tuliyoahidi kuwahudumia wananchi peleka salamu zangu waambie ninawapenda,” amesema...

READ MORE

Mangula: Rais Samia Atakamilisha Kazi Zote Alizoanzisha JPM – Video

Makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amesema aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitembea pamoja nchi nzima...

READ MORE

Coy Mzungu Amshukuru Mondi

MSANII wa maigizo ya vichekesho na kiongozi wa Kundi la Cheka Tu, Comrad Kennedy ‘Coy Mzungu’ amesema kuwa amefurahisha na...

READ MORE

Kundi la Watu Lazua Taharuki Kariakoo – Video

Kikundi cha watu kimezua taharuki katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusababisha maduka mengi kufungwa huku wafanyabiashara...

READ MORE

Simanzi! Mama, Watoto 4 Wadaiwa Kufariki Wakiaga Mwili wa JPM

SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli...

READ MORE

Rais Mnangagwa: Msaada wa Magufuli Hautasahaulika Zimbabwe

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema leo ni siku kubwa sana kwa Taifa la Tanzania, lakini pia ni siku kubwa...

READ MORE

Rais Samia: Nilipata Ugumu Kutangaza Kifo cha Magufuli – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alipata wakati mgumu sana kutangaza kifo cha mtangulizi wake John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021...

READ MORE

Rais Tshisekedi: Magufuli Mtetezi wa Kiuchumi Afrika

Rais wa DRC Felix Tshisekedi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema DRC na Umoja wa Afrika kwa pamoja wamesikitishwa...

READ MORE

Mo Dewji Atamani Mkataba wa Man United

Mkataba mpya wa udhamani wa Jezi ambao Klabu ya Manchested United imesaini na Teamviewer umemfanya mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi...

READ MORE

Rais Samia Awageukia Wanaosema Hatoweza Kuongoza Nchi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa ataiongoza nchi vizuri na wale ambao...

READ MORE

Rais Nyusi Asimulia Atakavyomkumbuka Magufuli – Video

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema Dkt John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania, atakumbukwa kwa jinsi alivyohamasisha upendo na uchapakazi...

READ MORE

Kenyatta: Magufuli Alikuwa Rafiki, Sina Shaka na Samia – Video

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemweleza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli...

READ MORE