×

Poulsen Aukubali Mziki wa Nado, Fei Toto

LICHA ya kupoteza mchezo dhidi ya Kenya ‘Harambee Stars’ kwa mabao 2-1, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania,...

READ MORE

Waziri Aagiza Kushuka Kwa Ada Ya Kusajili Online Tv Na Blogs

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kushusha ada za usajili wa...

READ MORE

Chelsea, Atletico Kimeuamana

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inataraji kuendelea tena saa 5:00 usiku wa leo kwa michezo miwili ya mkondo wa pili...

READ MORE

Miquissone Abeba Tuzo Ya Mchezaji Bora wa Mwezi Februari

Luis Miquissone leo Machi 17, 2021 ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Mashabiki wa Simba (Emirate Simba Fans...

READ MORE

Video: Simba Watangaza Tuzo Za Mchezaji Bora Wa Mwezi

 MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara, ametangaza ujio wa Tuzo za Mchezaji bora wa Mwezi ambapo zinatarajiwa...

READ MORE

Daraja Labomoka Baada ya Tu Kukamilika

  Daraja linalounganisha Tarafa za Bulambya na Undali, lililopo wilaya ya Ileje mkoani Songwe, limezidi kuzua taharuki baada ya kujengwa...

READ MORE

Azam FC Wafunguka Kuishusha Yanga Kileleni

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utatumia mpango wao wa kutumia faida ya matokeo mabaya ya vinara wa Ligi Kuu...

READ MORE

Wanamgambo ‘Wawakata Vichwa Watoto’

KWA mujibu wa Shirika la Kimataifa la Save the Children linasema watoto wadogo wa hadi miaka 11 wanauawa kwa kuchinjwa...

READ MORE

Real Madrid Yatinga Robo Fainali Baada ya Miaka 3

MABINGWA wa kihistoria wa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, Klabu ya Real Madrid imetinga hatua ya robo fainali ya...

READ MORE

Drake Anyemelea Penzi la Kim Baada ya Kuachana na Kanye

MOJA ya headlines kali zinazotrendi kwenye gossips ni kuhusu rapa maarufu nchini Marekani, Aubrey Drake Graham ‘Drake’ kutajwa kunyemelea penzi...

READ MORE

Aguero Alalamikia Kunyimwa Pasi Uwanjani

MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Muargentina  Sergio Kun Aguero,  amelalamikia uchoyo wa pasi kutoka kwa wachezaji wa timu hiyo, katika  mchezo...

READ MORE

Lokosa Atoweka Ghafla Simba SC

UONGOZI wa Simba, umelazimika kuachana na mshambuliaji wao raia wa Nigeria, Lokosa Junior, baada ya kutoweka kwa siku tatu kwenye...

READ MORE

Fahamu Umuhimu wa Nywele Sehemu za Siri za Mwili wa Binadamu

NYWELE hujitokeza katika sehemu tofauti katika mwili wa mwanadamu , na faida zake hutegemea sehemu inazojitokeza mwilini kulingana na tafiti...

READ MORE

Live: Makamu Wa Rais Aendelea Na Ziara Mkoani Tanga..

 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 17, 2021 anaendelea na ziara...

READ MORE

Mabaki ya Kipekee ya Biblia Yapatikana Pangoni

MABAKI ya machapisho ya Biblia ya kale imepatikana katika kile maafisa wametaja kuwa “uvumbuzi wa kihistoria” katika mapango ya jangwani...

READ MORE

Sakata la Bandari ya Kenya Kunyakuliwa na China Kisa Deni Liko Hivi

WAZIRI wa Fedha wa Kenya, Ukur Yatani, amepinga ripoti zinazoashiria kwamba Bandari Kuu ya Kenya huenda ikachukuliwa na China ikiwa...

READ MORE

Usipime! Mauno Ya Haji Manara Baada Ya Ushindi Dhidi Ya Al Merreikh -Video

 KLABU ya Simba SC imeendelea kuwa na mchezo mzuri katika ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Leo Machi 16...

READ MORE

Korea Kaskazini Yaionya Marekani

Dada mwenye ushawishi mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, Kim Yo Jong ameikosoa hatua inayoendelea ya mazoezi...

READ MORE

Watu 50 Wauawa Katika Shambulio Niger

Watu 58 wameuawa nchini Niger baada ya shambulio lililotokea katika mpaka wa Mali, mamlaka imeeleza. Wanaume wenye silaha walikuwa kwenye magari...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 17, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 17, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE