×

Coy Mzungu Amshukuru Mondi

MSANII wa maigizo ya vichekesho na kiongozi wa Kundi la Cheka Tu, Comrad Kennedy ‘Coy Mzungu’ amesema kuwa amefurahisha na...

READ MORE

Kundi la Watu Lazua Taharuki Kariakoo – Video

Kikundi cha watu kimezua taharuki katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusababisha maduka mengi kufungwa huku wafanyabiashara...

READ MORE

Simanzi! Mama, Watoto 4 Wadaiwa Kufariki Wakiaga Mwili wa JPM

SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli...

READ MORE

Rais Mnangagwa: Msaada wa Magufuli Hautasahaulika Zimbabwe

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema leo ni siku kubwa sana kwa Taifa la Tanzania, lakini pia ni siku kubwa...

READ MORE

Rais Samia: Nilipata Ugumu Kutangaza Kifo cha Magufuli – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alipata wakati mgumu sana kutangaza kifo cha mtangulizi wake John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021...

READ MORE

Rais Tshisekedi: Magufuli Mtetezi wa Kiuchumi Afrika

Rais wa DRC Felix Tshisekedi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema DRC na Umoja wa Afrika kwa pamoja wamesikitishwa...

READ MORE

Mo Dewji Atamani Mkataba wa Man United

Mkataba mpya wa udhamani wa Jezi ambao Klabu ya Manchested United imesaini na Teamviewer umemfanya mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi...

READ MORE

Rais Samia Awageukia Wanaosema Hatoweza Kuongoza Nchi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa ataiongoza nchi vizuri na wale ambao...

READ MORE

Rais Nyusi Asimulia Atakavyomkumbuka Magufuli – Video

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema Dkt John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania, atakumbukwa kwa jinsi alivyohamasisha upendo na uchapakazi...

READ MORE

Kenyatta: Magufuli Alikuwa Rafiki, Sina Shaka na Samia – Video

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemweleza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli...

READ MORE

Majaliwa: Siamini, Nahisi Kama JPM Ananipia Simu – Video

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hali ya masikitiko na majonzi amesema haamini macho...

READ MORE

Mgombea wa Urais Afariki kwa Covid 19

Mgombea wa urais wa Upinzani nchini Congo – Brazaville amefariki dunia kwa ajili ya Covid 19Guy Brice Parfait Kolelas, mmoja...

READ MORE

Alichokifanya Magufuli ‘Kabla ya Kukata Roho’

ALIYEKUWA Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliongoza sala na madaktari pamoja na wahudumu wake hospitalini kabla ya...

READ MORE

Majaliwa: Familia Imetutaka Mwili Ulale Tarehe 26 – Video

  Serikali imetangaza mabadiliko ya utaratibu wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt....

READ MORE

Mambosasa Afunguka Kuhusu Waliojeruhiwa Wakimuaga Magufuli

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais...

READ MORE

Uganda Kuomboleza Siku 14 Kifo cha Magufuli

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema nchi yake inaungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Mwili wa Magufuli Wawasili Jamhuri Dodoma Kuagwa – Video

MWILI wa Hayati John Pombe Magufuli umewasili Dodoma ambapo leo Machi 22 unatarajiwa kuagwa na kitaifa jijini humo huku Marais...

READ MORE

Simanzi! Wabunge Wamuaga Rais Magufuli – Video

Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Hayati Rais Dkt. John Magufuli...

READ MORE