×

Mama Samia Aapishwa Kuwa Rais wa Tanzania – Video

ALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi leo Machi 19, 2021...

READ MORE

Mwili wa Magufuli Kuagwa Kitaifa Mikoa Minne – Video

MSEMAJI wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas amesema ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli imekamilika...

READ MORE

Video: Atakapozikwa Rais Magufuli, Alipachagua Mwenyewe

 ENZI za Uhai wake, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, aliweka bayana kuwa atakapofariki basi azikwe kijijini kwao Chato na...

READ MORE

Mama Samia Kuapishwa Leo, Kuwa Rais wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataapishwa rasmi leo Machi 19, 2021 kuwa Rais...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 19, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 19, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

patie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

NMB Yatoa Neno Katika Uzinduzi Kizimba Business Model

Kukwama kwa wajasiliamali katika sekta ya kilimo kushindwa kupata mikopo ya kifedha kutoka taasisi za kibenki imetajwa kuchangiwa na vikwazo...

READ MORE

Mwambusi Aanza Kwa Kishindo Yanga

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kwa spidi ya aina yake katika kikosi hicho akiweka program ya kufanya...

READ MORE

Odinga Amuomboleza Swahiba Wake Magufuli

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametuma risala za rambirambi kwa familia ya rais John...

READ MORE

Prof. Lipumba: Tumebaki Wakiwa

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais John Magufuli atakumbukwa kwa mengi ikiwemo ujenzi wa miundombinu na jinsi alivyowabana...

READ MORE

RC Chato: Mnachanga Msibani Marehemu Haongei

RC Geita amehitimisha ziara yake Chato kwa kushiriki kwenye kuchimba Msingi wa madarasa 4 na ofisi 2 kwenye ujenzi wa...

READ MORE

WHO Yamlilia Rais Magufuli

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus ni miongoni mwa watu waliotuma salamu za pole...

READ MORE

Ufahamu Ugonjwa wa Moyo wa Mfumo wa Umeme (Atrial Fibrillation)

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kifo cha Rais John Magufuli ni tatizo la moyo la mfumo...

READ MORE

Bilionea Anunua Mabao ya Luis

IMEFAHAMIKA kuwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ amewapa wachezaji wake Sh 250Mil baada ya...

READ MORE

Hakimu Mstaafu Geita Afariki Dunia

HAKIMU mstaafu wa Mahakama ya Mkoa wa Geita, Mhe. Elisha Sabuka, amefariki dunia, usiku wa kuamkia Machi 17, 2021 nyumbani...

READ MORE

Anjella ‘Nilitaka Kunywa Sumu’

MSANII mpya kutoka lebo ya Konde Gang. Anjella amesema kuna wakati alitaka kutoroka na kunywa sumu kwani mama yake hakuwa...

READ MORE

TFF Yasimamishaligi Kuu kwa Wiki Mbili

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limefuta mchezo wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya...

READ MORE

CCM Yaitisha Kikao cha Dharura Dodoma, Maombolezo Siku 21 – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza siku 21 za maombolezo kwa wanachama wa chama hicho kutokana na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti...

READ MORE