×

Majizzo Aanika Mazito: Walisema Pete Itakata Kidole

  HATIMAYE Mkurugenzi Mtendaji wa Efm Radio na ETV, Francis Antony Ciza a.k.a Majizzo amefunguka kwa mara ya kwanza ikiwa...

READ MORE

Carlinhos Amtibulia Kaze Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amesema kuwa kadi nyekundu aliyopewa kiungo wake mshambuliaji Carlos Fernandez ‘Carlinhos’ imetibua mipango...

READ MORE

Waziri Ndalichako Aitaka JKT Kukamilisha Ujenzi wa Chuo cha Ualimu Kabanga

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknojia Prof. Joyce Ndalichako ameitaka SUMA JKT Kanda ya Magharibi kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Chuo...

READ MORE

Gomes Aweka Rekodi ya Kibabe Simba

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo uliopigwa juzi Jumatatu, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Tanesco Wapewa Siku 5 Tano Kumaliza Matengenezo

WAZIRI wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ametoa muda wa siku tano kwa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kuhakikisha linafanya matengenezo...

READ MORE

Bilionea Atoa Ofa ya Kwenda Mwezini

BILIONEA wa Japan, Yusaku Maezawa, amewakaribisha watu wanane  kujiunga nae kwa ajili ya safari ya kuutembelea mwezi katika ndege maalum...

READ MORE

Mahari Yangu Si Chini ya Milioni 20 – Agness

MREMBO Official Agness maarufu kama Agness wa Uchebe amefunguka kusema wanaume wanaotaka kumuoa mahari yake ni kuanzia shilingi Milioni 20...

READ MORE

Maiti Yazuiliwa Hospitali, Kisa ‘Hitilafu ya Pasipoti’

MWANAMKE ambaye baba yake wa kambo alifariki Thailand wiki mbili zilizopita anasema hospitali imekataa kuachilia maiti yake kutokana na mchanganyiko...

READ MORE

Mama, Mwanaye Wakutwa Wamekufa Gesti

  IRENE Lyimo(21) mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa...

READ MORE

Kuna Udhaifu Kwenye Kupambana na Nzige – Mkenda

SERIKALI imesema hairidhishwi na utendaji wa shirika la kukabiliana na nzige wa jangwani la Afrika Mashariki lenye makao yake makuu...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Kuhusu Kaze

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado una imani na Kocha Mkuu wa timu hiyo Cedric Kaze licha ya timu...

READ MORE

Nyota Wanne Simba Waweka Rekodi Ligi Kuu

NAHODHA wa Simba, John Bocco anaongoza kwa wazawa wenye mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa nayo tisa kibindoni...

READ MORE

Nafasi za Kazi 4 VETA, Assistant Vocational Teacher – Electrical Installation

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – ELECTRICAL INSTALLATION – 4 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Vocational Educational and Training...

READ MORE

Aliyemzimisha Manula Afunguka Kilichotokea

BAADA ya kipa wa Simba Aishi Manula kutolewa uwanjani na kukimbizwa na hospitali baada ya kupata majeraha hatimaye aliyesabisha tukio...

READ MORE

Aibomoa Nyumba ya Mil 154 Aliyomjengea Girlfriend Wake

NYUMBA yenye vyumba vinne ya huko Mpumalanga nchini Afrika Kusini imebomolewa yote kufuatia mgogoro kati ya wapenzi. Video zinazoonyesha nyumba...

READ MORE

Kaze: Siogopi Presha Yanga

  WAKATI akiwa kwenye presha kubwa ya kibarua chake kuota nyasi kutokana na matokeo ambayo hayawafurahishi mabosi wake pamoja na...

READ MORE

Waturuki Watua Kuijenga Upya Yanga

TAARIFA ilizozipata Spoti Xtra kutoka ndani ya Klabu ya Yanga zinasema kwamba, kampuni moja kutoka nchini Uturuki, hivi karibuni ilifika...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 3, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 3, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival laendelea, Vodacom Tanzania na WWF wasimamia zoezi la upandaji miti

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo (katikati) akiotesha mti kwenye eneo la hifadhi ya msitu wa mazingira asilia...

READ MORE