×

TANZIA: Kanali Fabian Massawe Afariki Dunia

Kanali Fabian Ignas Massawe amefariki leo, Jumatano Machi 10, 2021. Kanali Massawe aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambapo...

READ MORE

Maskini Robinho Sasa ‘Kuozea’ Jela

Mshambuliaji nyota wa zamani wa Brazil, Robinho de Souza, ameshindwa rufaa yake katika mahakama ya juu nchini Italia, hivyo atalazimika...

READ MORE

Halaand Awavuruga Messi na Ronaldo

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani Erling Braut Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 20 kwenye michuano ya Ligi...

READ MORE

Namungo Yaivaa Casablanca Kibabe Leo

WAKATI Namungo ikitarajia kucheza mchezo wa kwanza hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Raja Casablanca leo,...

READ MORE

Waganga wa Shinyanga Wauwa Fisi 11 Geita

  Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, imeendesha operesheni kupitia waganga wa jadi kutoka Shinyanga na kufanikiwa kuwaua fisi...

READ MORE

Siri ya rayvanny Kumwangukia Kajala Yafichuka!

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kumuangukia muigizaji Kajala Masanja kumuomba radhi, siri iliyopo nyuma ya pazia...

READ MORE

Walimu Wapigwa Marufuku Kuweka Rehani ATM Zao

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), imewataka walimu kujiepusha kuweka rehani kadi zao za benki(ATM), wanapokopa...

READ MORE

Mkurugenzi Apata Ajali

  MKURUGENZI wa Taasisi ya Doris Foundation, Doris Mollel, amepata ajali leo maeneo ya Mtumba Dodoma alipokuwa akitoka kwenye kikao...

READ MORE

Messi, Ronaldo Mtegoni UEFA

LIGI ya Mabingwa Ulaya, hatua ya 16 bora inatarajiwa kuendelea leo Jumanne na kesho Jumatano huku mastaa wa soka, Lionel...

READ MORE

Stars Yaanza Safari ya Kuitafuta AFCON

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars tayari kimeanza kambi ya kujiandaa na michezo ya kufuzu fainali za...

READ MORE

Muonekano wa Barabara ya Morrocco-Mwenge Dar

Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge KM 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji...

READ MORE

Suluhisho Siyo Kuachana Naye

ASANTE Allah kwa Ijumaa nyingine kareem! Rafiki yangu, leo ngoja nikuambie kitu muhimu; kwamba mazoea huleta kukinai na hili lipo...

READ MORE

Madaktari Waonya Dalili Mpya za Corona

LICHA ya dalili za awali zinazotambulika tangu wimbi la kwanza, pia kuna dalili nyingine zinazogunduliwa na madaktari hivi karibuni, ambazo...

READ MORE

Pep: Kipigo Cha Man U Kimetupa Somo

KOCHA Pep Guardiola amekiri kuwa Manchester City kitendo cha kupigwa mabao 2-0 na majirani zao, Manchester United kimewapa somo. Bruno...

READ MORE

Pluijm Afungukia Kurejea Yanga SC

ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Muholanzi Hans De Pluijm amesema kuwa hajafanya mazungumzo na kiongozi wa timu hiyo kwa...

READ MORE

Fiston: Sisi Ndiyo wa Kulaumiwa

MSHAMBULIAJImpya wa Yanga raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razak, amekiri kuwa, wao kama wachezaji ndiyo wanapaswa kubeba lawama kutokana na...

READ MORE

Malkia Elizabeth Amjibu Prince Harry

SIKU chache tangu Prince Harry na mkewe Duchess Meghan kufanya mahojiano na Oprah Winfrey, Malkia wa Uingereza Elizabeth II amemjibu...

READ MORE

Mvuvi Aliyekula Samaki wa Tsh Bil 6 Bila Kujua, Ajuta!

SHIRIKA  la habari la @cnbc limeripoti kuwa mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua...

READ MORE

Lulu Diva Akiri Kuporwa Gari

Sexy lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kuporwa lile gari la bei mbaya aina ya Jeep. IJUMAA...

READ MORE