×

Mwamnyeto Kumsalimia Mara Mbilimbili Onyango

BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, akimuona Joash Onyango wa Simba, atalazimika kumsalimia mara mbilimbili kwa kuwa amempoteza jumlajumla...

READ MORE

Kocha wa Yanga Ataja Anayeihujumu Timu Hiyo

ALIYEKUWA kocha wa magolikipa wa Klabu ya Yanga, Mrundi, Vladmir Niyonkuru amefunguka mambo mengi baada ya benchi la ufundi la...

READ MORE

Mnyika Akanusha Taarifa Zinazozusha Kifo cha Mrema

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi,...

READ MORE

Katambi Awaponda Chadema “Huwezi Kujenga Ofisi, Utaweza Nchi?” – Video

NAIBU Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Patrobas Katambi, leo Machi...

READ MORE

Bashe: Mahindi ya Tanzania ni Salama kwa Afya

NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mahindi yanayotoka Tanzania yanakidhi vigezo vya kiafya kinyume na taarifa zinazosambaa kutoka Kenya....

READ MORE

Mwanafunzi TIA na Wenzake Wadaiwa Kunaswa na Kilo 31 za Heroin

JESHI  la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya (ADU), limewakama watu wanne akiwemo mwanafunzi wa Chuo...

READ MORE

Polisi Waeleza Mgonjwa Aliyemchoma Kisu Muuguzi

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslimu, amesema kuwa Polisi bado wanaendelea na uchunguzi wa tukio la mgonjwa Piche...

READ MORE

Kaze Ajibu Mapigo Yanga ‘Wachezaji Hawana Viwango’

KWA mara ya kwanza aliyekua kocha mkuu wa Young Africans ameushauri Uongozi wa klabu hiyo, baada ya kuonyeshwa mlango wa...

READ MORE

Nandy: Achomoa Madai Ya Kunasa Mimba!

MSANII wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa watu wengi wana hofu nayo kwamba huenda ni mjazito lakini ukweli...

READ MORE

Aliyemkata Panga Mwalimu Mwenzake Kisa Penzi la Mwanafunzi Kortini

MWALIMU wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti katika Kaunti Ndogo ya Mwea, Mashariki nchini Kenya, Timothy Musembi (34)...

READ MORE

Breaking: Msafara Wa Makamu Wa Pili Wa Rais Zanzibar Wapata Ajali

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya gari lililokuwa limewabeba waandishi wa habari katika msafara wa makamu wa pili wa rais...

READ MORE

Mbosso Aachia Album Yake ya Kwanza “Definition Of Love”

STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia rasmi...

READ MORE

Waziri Ummy Kufungua Dirisha Maalum, Kusaidia Wanawake

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu amewaahidi Wanawake kuwasaidia kuanzisha dirisha maalumu...

READ MORE

‘Liverpool Muuzeni Salah Muiokoe Timu’

KLABU ya Liverpool imetakiwa kumuuza Mohamed Salah ili kupata fedha za kutengeneza kikosi chao upya kama ambavyo walifanya kwa Philippe...

READ MORE

Rage: Yanga Walichelewa Kumfukuza Cedric Kaze

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amesema Yanga walichelewa kufanya maamuzi ya kumfukuza Kocha Cedric Kaze....

READ MORE

Mondi Amtupia Kijembe Harmonize “Sio Uchawi” – Video

CEO wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz amemtupia dongo aliyekuwa mwanamuzi wake kwenye lebo hiyo, Harmonize kwa kitendo cha kuikashifu...

READ MORE

Live: Nyumba 100 Kubomolewa Dar | Front Page

NAIBU Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Patrobas Katambi, ametembelea ofisi...

READ MORE

Rayvanny Avunja Ukimya, Aweka Wazi Kuhusu WCB – Video

MWANAMUZIKI Rayvanny usiku wa kuamkia leo Machi 10, amezindua ofisi ya studio yake iliyopo Mbezi Rainbow jijini Dar.

READ MORE

Gomes Avunja Kibabe Rekodi ya Aussems Simba

KOCHA wa Simba, Didier Gomes, amefanikiwa kuvunja rekodi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems, baada kucheza mechi...

READ MORE