×

Tonombe: Tulieni, Bado Mapambano Yanaendelea

KIUNGO Mkabaji wa Yanga, Mkongomani, Mukoko Tonombe, ameibuka na kutamka kuwa mapambano bado yanaendelea hadi mwisho wa msimu wawe mabingwa.Hiyo...

READ MORE

Simba Yaongoza Kundi Ligi Ya Mabingwa Afrika, Yaipiga Al-Ahly

SIMBA inaongoza msimamo wa kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo Februari 23, 2021 kufikisha pointi sita baada...

READ MORE

Spoti Xtra Lamwaga Tiketi za Simba vs Al Ahly

TIMU ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group ambao ni wachapishaji wa magazeti namba moja kwa habari za michezo kupitia...

READ MORE

Mpango Amwaga Chozi Akitoka Hospitali -Video

WAZIRI  wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, leo Februari 23, 2021, ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini...

READ MORE

Amuua Mwanamke Aliyemkuta Akinywa Pombe na Mumewe

DAYANE RAFEELLE de SILVA ROGRIGUES (31) anashikiliwa na polisi  huko Caera, Brazil, kwa kumwua mwanamke  mmoja aitwaye Djaiane Batista Barros...

READ MORE

Video: MO DEWJI Alivyotinga UWANJANI Mechi ya SIMBA vs AL AHLY

 GLOBAL TV imefika mapema katika uwanja wa Mkapa jijini Dar kwa ajili ya kushuhudia mtanange wa kukata na shoka...

READ MORE

Askofu Malekana: Matamko Yanatengeneza Taharuki

Imeelezwa kuwa matamko na nyaraka zinazotolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini inapaswa yatolewe na wizara ya afya kwa sababu...

READ MORE

Taasisi Nne Kuchunguza Shule Ya Don Bosco – Tanga

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu amesema ataunda timu ya wataalamu...

READ MORE

Mazishi ya Mume wa Vicky Kamata – Video

  MWILI wa Mume wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile,...

READ MORE

UDART Yatoa Mwongozo wa Kujikinga na Corona kwa Abiria Wake

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa Mwongozo kwa Watumiaji wa Magari ya Mwendokasi ili kujikinga...

READ MORE

Harmonize: Mwana Kulitafuta, Mwana Kulipata

MWANA kulitafuta, mwana kulipata! Ndiyo kauli inayomfaa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ Harmonize ambaye ametoa hoja ambayo imekutana...

READ MORE

Balozi wa Italia Alivyouawa DR Congo

  WIZARA ya mambo ya nje ya Italia imesema kuwa balozi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameuawa katika...

READ MORE

Biden Aomboleza Waliokufa kwa #Covid-19

TANGU kutokea kwa janga la #CoronaVirus duniani kumekuwa na athari katika maeneo mbalimbali huku Marekani ikiwa nchi iliyoathirika zaidi.  ...

READ MORE

RC Awaita Watalaam wa Asili Kutibu Maradhi ya Kupumua

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amesema anawataka wale wote wenye tiba za asili za Pumu, Kifua, Mafua, Maumivu...

READ MORE

Real Madrid Kucheza Na Atalnta Kesho Ligi Ya Mabingwa

Michezo ya Ligi ya Mabingwa – UEFA na Europa, EPL na Eredivisie kuendelea kutimua vumbi wiki hii. Hii ni fursa...

READ MORE

DRC Yataja Waliohusika Mauaji Balozi wa Italia

SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imewashutumu waasi wa FDLR wenye asili ya #Rwanda kwa shambulio lililosababisha mauaji...

READ MORE

Walimu Wadai Hawako Salama na Corona

SHULE  zimeshindwa kufunguliwa leo nchini Malawi baada ya walimu kugoma wakisema hawako salama katika mazingira ya kazi. Wametoa madai kadhaa...

READ MORE

Dorothy Semu Kaimu Mwenyekiti Wa ACT-Wazalendo Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimemteua Dorothy Semu kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho Kitaifa kufuatia kifo cha Mwenyekiti...

READ MORE

Breaking News: Mwenyekiti Wa CCM Simiyu Afariki Dunia

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Februari 23, 2021 katika Hospitali ya...

READ MORE

Bobi Wine Aifuta Kesi Dhidi ya Museveni

KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Uganda cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine ameondoa mashtaka yake...

READ MORE