×

DC Zanzibar Awasaka Vijana Wenye Rasta, Panki

MKUU wa Wilaya ya Mjini (Zanzibar), Rashid Msaraka, ameanza operesheni ya kuwanyoa nywele vijana wenye umri chini ya miaka 18...

READ MORE

Ndugai: Riba Bodi ya Mikopo Inawaumiza Watoto wa Masikini

SPIKA Job Ndugai amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imegeuka biashara akieleza riba inayodaiwa na Bodi ya Mikopo...

READ MORE

Nandy: Kolabo na Koffi Imekula Milioni 70

  STORI zinazotrendi mtandaoni ni kuhusu African Princess, Nandy, ambaye ameweka wazi kuwa wimbo wake mpya aliofanya na msanii Koffi...

READ MORE

Morrison, Mugalu Wapewa Jukumu Zito DR Congo

KUTOKANA na uzoefu wake alionao wa kuwahi kucheza soka Kinshasa, DR Congo, benchi la ufundi la Simba limempa jukumu zito...

READ MORE

Kisiwa cha Harishi- Part 10

“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu....

READ MORE

Sumaye, Msekwa Waeleza Walivyomfahamu Mwapachu

Spika wa Bunge mstaafu Mzee Pius Msekwa na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, wamesema kuwa marehemu Bakari Mwapachu alikuwa ni...

READ MORE

Tanzia: Mbunge Nditiye Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma, Mhe. Atashasta Nditiye, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo Ijumaa,...

READ MORE

Jux – Mapepe (Official Music Video)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux,  Februari 12, 2021 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Mapepe....

READ MORE

YouTube ya Kiba Yarejea Mikononi Mwake

  STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba, amethibitisha kuwa akaunti yake ya YouTube ya Alikiba sasa ipo mikononi mwake....

READ MORE

JPM Achafukwa, Amwambia Rostam: Gombea Ubunge Umtoe Abood – Video

RAIS John Magufuli amemwomba aliyewahi kuwa mbunge wa wa jimbo la Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Abdulrasul Aziz, kugombea...

READ MORE

Bayern Mabingwa wa Dunia

Timu ya Bayern Munich ya Ujerumani, usiku wa jana ilitwaa Kombe la Dunia kwa vilabu kwa kuwafunga timu ya Tigres...

READ MORE

Kocha Simba: Namjua Vizuri Ibenge, Ninajiamini

MFARANSA Didier Gomes ambaye ni kocha mkuu wa Simba ametamba kwamba anajiamini mbele ya mpinzani wake kocha wa AS Vita,...

READ MORE

Tanzia: Balozi Mwapachu Afariki Dunia

    ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Bakari Mwapachu, amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa February 12, 2021...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Sokowatch, Country Accountant

Sokowatch is transforming communities across Africa by revolutionizing access to essential goods and services. By connecting small shops to the...

READ MORE

Ukweli wa Historia ya Dunia ni Huu, Desemba Sio Mwisho wa Mwaka

MTAFITI wa Mmbo ya Historia, Prince Katega wa Pili, ameeleza namna ukoloni ulivyoathiri ukweli wa Africa na kueleza namna mambo...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 12, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 12, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Siri Nzito Makaburi ya Kinondoni: Miili ya Maskini Kufukuliwa na Kuzikwa za Matajiri

Hii ni makala maalum ya kiuchunguzi iliyofanywa na timu ya uchunguzi ya Global TV Online, kuhusu makaburi maarufu Dar, nayo...

READ MORE

Patrick Kanumba Afunguka Bifu la Mama Kanumba na Lulu – Video

KATIKA kipindi cha ‘BONGO 255’ leo Februari 11, wamepiga stori na muigizaji, Othamn Njaidi ‘Patrick Kanumba’, ambaye kwa sasa anatamba...

READ MORE

Live: Global Habari Febr 11 – JPM Atoa Maagizo Soko La Morogoro..

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli ametoa maagizo kwa Wizara ya TAMISEMI pamoja na Viongozi wa...

READ MORE