×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

NMB Bonge la Mpango; Jishindie hadi Sh. Milioni 500/-

Benki ya NMB imeizindua kampeni inayojulikana kama ‘Bonge la Mpango’ ambayo itawawezesha wateja kushinda fedha taslimu, Pikipiki ya Miguu mitatu,...

READ MORE

Washindi 424 wa Kila wiki, Mwezi wazoa Zawadi za Mamilioni

KUELEKEA droo kuu ‘Grand Finale’ ya Kampeni ya NMB MastaBATA, Benki ya NMB imewataka wateja wake kuongeza kasi ya matumizi...

READ MORE

Straika Tegemeo Ahly aumia Dar

WAKATI joto la mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly ya...

READ MORE

Mo Amwaga Mamilioni Mwarabu Afe

SIMBA chini ya mwekezaji bilionea Mohamed Dewji ‘Mo’, imewatangazia wachezaji na benchi la ufundi motisha ya Sh milioni 400 kama...

READ MORE

Rekodi ya Simba Yaivuruga Al Ahly

REKODI ya Simba katika michuano ya kimataifa inapocheza katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa imeonekana kuibeba zaidi timu hiyo...

READ MORE

Himid awapa Simba SC mbinu za kuwaua Al Ahly

KIUNGO wa El Entag El Harby ya Misri, Mtanzania Himid Mao amebainisha wazi kwamba Simba wana uwezo wa kuifunga Al...

READ MORE

Carlinhos ni Balaa Kubwa Yanga SC

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, juzi Jumamosi kuifungia Yanga bao la ushindi dhidi Mtibwa Sugar, sasa mchezaji...

READ MORE

Tonombe Ashusha Presha Yanga

UONGOZI wa Yanga umewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu hali ya kiungo wao kipenzi, Mkongomani Mukoko Tonombe ambaye juzi...

READ MORE

Mugalu: Tunaanza nao kwa Mkapa Tunawamalizia

MFUNGAJI wa bao pekee la mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita,...

READ MORE

Itel Yawatoa Out ‘Valentine Dinner’ Wataje Wake

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Itel Tanzania imefanya droo yake ya kwanza hivi karibuni  katika promosheni inayoendelea kwa jina...

READ MORE

Rais JPM Kufanya Ziara ya Siku 2 Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Jijini...

READ MORE

Dk. Mollel: Wanadai Hatutoi Data za Corona ni Ujinga Mtupu – Video

  SERIKALi imesema matumizi ya data za magonjwa yote, ni kwa ajili ya kuchakata na kisha kuja na mbinu za...

READ MORE

Serikali Yatoa Kanuni 8 za Kujikinga na #COVID19

  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kusimamia na kusisitiza utekelezaji wa tahadhari ya magonjwa...

READ MORE

Rayvanny: Nitaondoka Wasafi (WCB) kwa Amani

MSANII Raymond Shaban Mwakyusa aka Rayvanny aliyepo chini ya label ya Wasafi Classic Baby (WCB) amesema atahakikisha anatoka kwenye label...

READ MORE

Mrembo Aliyeolewa na Babu wa Kizungu Aibua Mapya

Unaambiwa umri ni namba tu kwenye mahusiano, kwani msanii Azzy Superstar amesema haoni noma kuwa kwenye mapenzi na mume wake...

READ MORE

Holodomor Janga la Njaa, Watu Walikula Nyama za Watu

Mwaka 1932-1933 lilitokea janga la njaa hatari sana lililoikumba Ukraine, Janga ilo liliitwa Holodomor. Kukosekana kwa chakula kulipelekea watu kuanza kulana...

READ MORE

Mama Samia: JPM ni Baba wa Madini

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, leo amefungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini lenye lengo la...

READ MORE

Serikali Kutumia Ndege Kuua Nzige Simajiro, Longido

Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema ndege itapuliza sumu kuua nzige katika Wilaya za Simanjiro na Longido leo. Amewataka...

READ MORE

Global Radio Yatunukiwa Tuzo ya Radio Bora Mtandaoni

HATIMAYE  ile tuzo ya Radio Namba Moja ya Mtandaoni Tanzania iliyotolewa na Tanzania Digital Awards  iliyobebwa ‘kibabe’ na +255 Global...

READ MORE