×

Stendi Mbezi Luis Kuanza Kutumika Feb 25

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge, jana Februari 21,  amesema  kuwa stendi kuu ya mabasi ya mikoani...

READ MORE

Waalgeria Waomba Kutumia Uwanja wa Mkapa

Timu ya CR Belouizdad ya Algeria imeomba kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchi Tanzania kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa...

READ MORE

NMB Yatoa Vifaa vya Milioni 50 Morogoro, Dodoma na Singida

Benki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali katika sekta ya elimu na Afya kwenye Wilaya za Mpwapwa mkoani Dodoma, Manyoni na...

READ MORE

Bwalya Arudisha Tabasamu Kwa Gomes

KUREJEA kwa nyota wake sita ambao walikuwa nje ya kikosi cha Simba wakiongozwa na chaguo namba moja kwa Kocha Mkuu,...

READ MORE

Mama Mzazi wa Ronaldinho Afariki Dunia

MAMA mzazi wa nyota wa zamani wa Barcelona Ronaldo de Assis Moreira, maarufu kama Ronaldinho Gaucho, Dona Miguelina amefariki dunia...

READ MORE

Ndege ya Kijeshi Yaanguka, Yaua Wawili

Marubani wawili wamefariki kutokana na ajali ya ndege ya kijeshi katika jimbo la Alabama huko Marekani.   Jeshi la Anga...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 22, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 22, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nabii Bendera: Corona Tunaishinda kwa Mbinu – Video

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufunuo, Mchungaji Paul Bendera ameiasa jamii ya Watanzania kutokuwa na hofu kuhusu ugonjwa wa corona...

READ MORE

Rais JPM: Hatujazuia Kuvaa Barakoa

Rais John Magufuli amesema Serikali haijazuia matumizi ya barakoa na amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya COVID19 kama wanavyoshauri wataalamu...

READ MORE

Vitu Vitano Muhimu Anavyohitaji Mteja Kutoka Kwako

RAFIKI yangu mpendwa, kuanzisha biashara ni jambo moja halafu kuifanya biashara hiyo ikue, iwe bora na yenye mafanikio hilo ni...

READ MORE

Namungo Fc Yaishushia Mvua ya Mabao De Agosto

  WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF)  Afrika Namungo FC  imejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga...

READ MORE

Kagere Awavuruga Waarabu

PENGINEwatu wengi watakuwa wamesahau kidogo kilichotokea Februari 12, 2019 pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, lakini Al Ahly, wana kumbukumbu...

READ MORE

Silinde Amsimamisha Mkuu wa Shule Mtwara

NAIBU waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amemsimamisha kazi mkuu wa shule ya sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga...

READ MORE

Henderson Ala Shavu Man U, Kumuweka Nje De Gea

KUNA uwezekano kipa namba mbili wa Manchester United, Dean Henderson, akamuweka benchi kipa namba moja wa kikosi hicho, David de...

READ MORE

Rais Magufuli Awaondoa Hofu Watanzania -Video

Rais Dk John Magufuli amewataka watanzania kutokuwa na hofu na ugonjwa wa corona na badala yake wanatakiwa kumtanguliza Mungu mbele...

READ MORE

Laini za Simu Kuwekwa ‘Password’ Kuanzia Julai Mosi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema ifikapo Julai mosi, laini zote zitakazotolewa zitakuwa na neno la siri ambalo mteja atatakiwa...

READ MORE

Simba Yaiwekea Al Ahly Kikao Kizito

MIKAKATI ya kuhakikisha Simba inavuna pointi tatu dhidi ya Al Ahly ya Misri, imeendelea usiku wa kuamkia jana, ambapo benchi...

READ MORE

Wawili Wafariki Kwenye Maandamano Myanmar

IDARA ya huduma za dharura nchini Myanmar imesema, watu wawili waliuawa katika mji wa Mandalay jana Jumamosi Feb. 20 wakati...

READ MORE

JPM Awataka Watanzania Kuchukua Tahadhari ya Corona

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Korona kama zinaelekezwa na...

READ MORE

JPM Ashiriki Ibada Ya Dominika Ya Kwanza Ya Kwaresima Oystrerbay Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  leo Februari 21, 2021 ameshiriki katika Ibada ya Dominika...

READ MORE