×

Wema: Hata Niikishi Charambe Haiwahusu

STAA filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu amefunguka kuwa watu wanamzonga kwa maneno kwa sababu anakaa Mtoni Kijichi wamuache maana hata...

READ MORE

T.I na Mkewe Mbioni Kupandishwa Kizimbani

RAPA T.I. na mkewe Tiny Harris sasa huwenda wakaburuzwa mahakamani kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wanawake, tuhuma ambazo...

READ MORE

Vijana Think Tank Yatoa Hamasa Wanafunzi wa Sayansi Kusoma kwa Vitendo

Kuelekea siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Taasisi ya VIJANA THINK TANK (VTT) limetoa hamasa kwa wanafunzi...

READ MORE

Tresor Mputu: Simba SC inaweza kuifunga AS Vita

MSHAMBULIAJI mkongwe wa TP Mazembe na timu ya taifa ya DRC Congo, Tresor Mputu amefunguka kuwa Simba ina uwezo mkubwa...

READ MORE

Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi Watakiwa Kutoa Hukumu kwa Kiswahili

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaagiza Wenyeviti wa Mabaraza ya ardhi na Nyumba ya wilaya...

READ MORE

Lulu Diva: Ningekuwa Mdangaji, Ningezeeka

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kama angekuwa mdangaji kama watu wanavyosema basi angeshazeeka siku nyingi...

READ MORE

Simba VS Azam Kitawaka leo Uwanja wa Mkapa

SIMBA na Azam wote kwa pamoja wanatambiana kuelekea mchezo wa leo Jumapili wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa,...

READ MORE

Kim Poulsen Atajwa Taifa Stars

ALIYEWAHIkuwa mshauri wa ufundi kwa timu za taifa za vijana hapa nchini, Kim Poulsen raia wa Denmark, anatajwa kuja kuchukua...

READ MORE

Serengeti Music Festival Yafana Dodoma

USIKU wa kuamkia leo Februari 7, 2021, limefanyika bonge moja la tamasha pale makao makuu ya nchi, kwenye uwanja wa...

READ MORE

Ushosti wa Tanasha, Mobeto Wafika Ukingoni

KIMEWAKA? Taarifa ikufikie kwamba, ule ushosti wa wazazi wenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamisa Mobeto...

READ MORE

Injinia Hersi Said: Aanika Njia Anazotumia Kusajili Majembe

  KWA misimu mitatu mfululizo mashabiki wa Yanga wamekosa furaha kutokana na kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na...

READ MORE

Kaze Aifungukia Pacha ya Saido, Carlinhos Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amesema kuwa kuna uwezekano wa kuwachezesha kwa pamoja viungo wake Carlos Carlinhos na...

READ MORE

Msisherekee Tambwe Kulipwa, Angalieni Msingi Wa Tatizo, Mjiulize…

UMEWASIKIA Yanga, wamesema watalilipa lile deni wanalodaiwa na mshambuliaji wao wa zamani, Amissi Tambwe raia wa Burundi. Wanatakiwa kulipa zaidi...

READ MORE

Sarah Asepa na Kila Kitu Chake Kwa Harmo

IMEVUJA! Aliyekuwa mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ Sarah ametimkia nchini kwao Italy na kuchukua kila kilichokuwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazeti la...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 7, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 7, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kocha Kaze Aitabiria Simba Mafanikio

CEDRIC KAZE, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba wana nafasi ya kufanya...

READ MORE

Chunya: Wananchi Wakumbwa na Ugonjwa wa Kutapika Damu – Video

Diwani wa Ifumbo wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya, Weston Mpyila ameiomba Serikali kuwasaidia kupata ufumbuzi kutokana na kuzuka kwa ugonjwa...

READ MORE

Fiston Afungua Akaunti ya Mabao Yanga

AKICHEZA mchezo wake wa kwanza, mshambuliaji mpya wa Yanga Mrundi Fiston Abdoul Razack amefungua akaunti ya mabao baada ya kupiga...

READ MORE

Simba vs Azam FC Kesho Kitawaka Kwa Mkapa

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kesho saa moja kamili usiku wanatarajiwa kuwakaribisha wapinzani wao Azam FC kwenye Uwanja...

READ MORE