×

WHO Yainyima Tanzania, Burundi Chanjo ya Corona

Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania...

READ MORE

Wasafi TV Yalegezewa Kitanzi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekiruhusu kituo cha televisheni, Wasafi TV, kuanza tena kurusha matangazo kuanzia Machi Mosi 2021, baada...

READ MORE

Watu 32 Wafariki Katika Ajali ya Magari Matano

WATU 32 wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa vibaya, baada ya ajali kutokea usiku wa kuamkia leo ikihusisha magari matano...

READ MORE

Beki Mpya Agoma Kukaa Benchi Yanga

KITASA mpya wa klabu ya Yanga, Dickson Job amefunguka kuwa amejiunga na klabu hiyo akijua wazi atakutana na ushindani mkubwa...

READ MORE

Benki Exim Yaanika Faida Licha ya COVID-19

  Benki ya Exim (Group) imetangaza kupata faida ya jumla ya TZS 25.3 Bilioni (kabla ya kodi) kwa mwaka 2020...

READ MORE

JPM: Mumeo Aliyefukuzwa Akatafute Kazi Nyingine – Video

RAIS John Magufuli, amemshauri mwanamke aliyedai kuwa mume wake alikuwa ni askari magereza na alifukuzwa kazi baada ya kusingiziwa kwamba...

READ MORE

Simba na Dodoma Jiji Kukiwasha leo Dodoma

SIMBA SC, leo wakitarajiwa kuvaana na wenyeji wao Dodoma Jiji FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, wameamua kwenda na...

READ MORE

Yanga Yaahidi Kumlipa Tambwe

MABINGWA wa kihistoria Tanzania, Yanga wamesema kuwa hawajapokea taarifa rasmi za kufungiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa...

READ MORE

Msolla Ataja Kirusi Cha Mabadiliko Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa ugumu wa miundombinu ya kukutana na wanachama nchi nzima ni moja...

READ MORE

Wasafi Yapunguziwa Muda wa Adhabu na TCRA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo Feburuari 4, 2021, imesema imetafakari uamuzi wake wa kuifungia kwa muda wa miezi sita...

READ MORE

Mbunge Amkomalia Magufuli Aongezewe Muda Madarakani

MBUNGE wa Makambako (CCM), Deo Sanga, jana Jumatano Februari 3, 2021, amerudia kauli yake ya kutaka Rais John Magufuli aongezewe...

READ MORE

Kaze Amvimbia Gomes wa Simba

BAADA ya Yanga kufanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi katika michuano iliyomalizika Januari 13, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema...

READ MORE

JPM: Mkuu Wenu Alimtumia Mkewe Kutengeneza Sare za Askari

Rais Dkt. John Pombe amesema amefurahishwa na Jeshi la Magereza ambalo alikuwa amezoea kila siku kukuta mambo ya kukuudhi lakini...

READ MORE

Wapinzani wa Simba Waajiri Kocha Mpya

KUELEKEA mechi za hatua ya makundi kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, timu ya Al-Merreikh ya nchini Sudan imemtimua kocha...

READ MORE

Kambi ya Yanga Kama Ulaya, Avic Kigamboni Dar

NI sahihi kusema kuwa kambi ya Yanga ni kama Ulaya, baada ya waandishi wetu kwenda kuitembelea jana na kushuhudia mambo...

READ MORE

Majaliwa Atoa Maagizo kwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa kuhakikisha watumishi waliopaswa kuhamia katika...

READ MORE

Mbunge CHADEMA Amuomba JPM Kufuta Kesi Zote za Uchaguzi 2020

Mbunge wa viti maalum wa kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Nusrat Hanje amemuomba Rais Dkt. John Magufuli kuzifuta...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Awekwa Kikaangoni Bungeni Kwenye Kikao Cha Tatu

  Mkutano wa pili wa Bunge la 12 umeanza Unaendelea leo Februari 04, 2021 na unatarajiwa kuendelea hadi Februari 12....

READ MORE

Yanga: Subirini Muone Moto wa Fiston, Saido

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nyota wao waliosajiliwa ndani ya kikosi hicho wakiongozwa na Fiston Abdulazak ambaye ni mshambuliaji pamoja...

READ MORE