×

NEW VIDEO: ME- Hello

Aliyekuwa meneja wa msanii wa kike machachari Bongo, Chemical, Alex Masiga anayetumia jina la kisanii la ME ameaamua kuingia studio...

READ MORE

Polepole: JPM Hana Mpango Kuongeza Muda Madarakani

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole,  leo Jumanne Februari 9, 2021 amelieleza Bunge kuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli hana mpango...

READ MORE

Jumbo Camera Watoa Punguzo la Bei Msimu wa Wapendanao

  WAUZAJI wa vifaa bora vya uzalishaji wa video na sauti, JUMBO CAMERA HOUSE wameshusha mzigo mpya wa Camera, Tripod...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Mali za Mmiliki wa Impala Hotel Ziuzwe

Mahakama kuu Kanda ya Arusha imeridhia kuuzwa kwa mali za Mmiliki wa hotel za Impala na Naura Spring ikiwemo viwanja...

READ MORE

Mama D, Mobeto Wafukua Makaburi

BAADA ya mwanamitindo Hamisa Mobeto naye kumpeleka mwanaye, Abdul Nasibu ‘Dyllan’ kwa baba yake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mapya yameibuka....

READ MORE

Babu Miaka 72 Ajiua Kisa Kushtakiwa Polisi na Mkewe

Mkazi wa Kijiji cha Lyamungo Sinde, Zephania Lyimo (72) anadaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila kwa madai ya kukasirishwa...

READ MORE

Atalanta Kukiwasha na Napoli Kesho Coppa Italia

Wiki hii kunamuendelezo wa mashindano kadha wa kadha kunako soka la Ulaya. FA Cup, Coppa Italia na La Liga ni...

READ MORE

Patrick Kanumba Akazia Sakata la Mama Kanumba

Ni ‘headlines’ za msanii wa filamu Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba ambaye ametoa ‘comment’ yake kuhusu kinachoendelea mitandaoni kati...

READ MORE

Bulaya: Mimi Ndo Kipenzi cha Wana Bunda

  Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya, amesema kuwa yeye ni mbunge wa muda mrefu na mbunge kipenzi cha wananchi...

READ MORE

Taratibu Mazishi ya Mtangazaji Mukhsin Mambo

MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, aliyefariki dunia jana Februari 8, 2021,  akiwa nyumbani kwake nchini Marekani, anategemewa kuzikwa jijini Mwanza...

READ MORE

Simba Yaifuata AS Vita Kijeshi, Yabeba Maji

KIKOSI cha Simba, kinatarajiwa kuondoka leo Jumanne kuelekea nchini DR Congo tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa hatua ya...

READ MORE

Kesi ya Trump Kuanza Leo, Mawakili Wake Wakikosoa

Baraza la Seneti la Marekani leo litaanza mchakato wa kusikiliza kesi inayomkabili rais wa zamani Donald Trump, wakati timu ya...

READ MORE

Bayern Yatinga Fainali Kombe la Dunia

  Mabingwa wa bara la Ulaya, klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani imetinga hatua ya fainali ya michuano ya...

READ MORE

Kaze Awavaa Mastaa Yanga

LICHA ya mshambuliaji mpya wa Yanga, Fiston Abdoulrazack kushindwa kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya African Sports...

READ MORE

Straika Yanga Amvaa Kagere Simba

STRAIKA wa Yanga, Mbukinabe, Yacouba Songne ameibuka na kubainisha wazi kuwa atapambana mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kuhakikisha...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Coca-Cola Kwanza, Quality Controller

Reference Number CCB210208-8 Job Title: Quality Controller Function Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania...

READ MORE

Mfaransa Simba SC Awapiga Biti Zito AS Vita

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes amewapiga biti zito wapinzani wake AS Vita ya DR Congo kwa kusema wapo...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 9, 2021

  Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 9, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE