×

Wanaougua Ugonjwa Usiojulikana Chunya Kusafirishwa Bure

  Mkuu wa mkoa Mbeya, Albert Chalamila amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuwasafirisha bure wananchi wote wa kijiji cha...

READ MORE

Ebola Yarudi Tena DRC

Shirika la afya ulimwenguni WHO, limesema wafanyakazi wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamegundua kisa kipya cha virusi...

READ MORE

Fahamu Kuhusu UN PEACE MAKER

MAJESHI ya kulinda amani yamethibitika kuwa silaha bora zaidi ya Umoja wa Mataifa katika kuzisaidia nchi kadhaa kutoka katika matatizo...

READ MORE

Afrika Kusini Yasitisha Chanjo ya Corona (AstraZeneca)

Afrika Kusini imesitisha mipango ya kuanza utoaji chanjo ya Corona (AstraZeneca) na Oxford baada ya utafiti kuonyesha kuwa chanjo hizo...

READ MORE

Michezo Morocco Mabingwa Tena CHAN

Timu ya Taifa ya Morocco usiku wa jana tarehe 7/2/2021 waliibuka mabingwa wa michuano ya CHAN baada ya kuifunga Mali...

READ MORE

Afumaniwa Kitandani na Mke wa ‘Mjeda’

NJEMBA mmoja katika Mtaa wa Kawangware, jijini Nairobi nchini Kenya ametokwa na kijasho chembamba baada ya kunaswa akitafuna asali ya...

READ MORE

Mtendaji Aliyetoweka na Milioni 10 Asakwa

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wamemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Hemed Magalu kumsaka Mtendaji wa...

READ MORE

‘Mafuriko ya Damu’ Yazua Gumzo

Kijiji kimoja cha Indonesia kimekumbwa na mafuriko yenye rangi ya damu baada ya maji kuingia katika kiwanda kimoja cha nguo....

READ MORE

Babu Afariki Gesti Akifanya Mapenzi

POLISI  katika kaunti ya Nyandarua nchini Kenya wanachunguza hali iliyosababisha kifo cha mzee mmoja mwenye miaka 58, ambaye ameaga dunia...

READ MORE

Afrika Kusini Yasitisha Utoaji wa Chanjo ya Corona

TAIFA la Afrika Kusini jana Februari 6, limesitisha kuanza utoaji chanjo ya AstraZenecana Oxford baada ya utafiti kuonesha chanjo hizo...

READ MORE

Biden Agoma Kuiondolea Vikwazo Iran

RAIS wa Marekani, Joe Biden, amesema hataondoa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Iran hadi itakapotimiza makubaliano yaliyofikiwa chini ya mkataba...

READ MORE

Asimulia Alivyopewa Adhabu kwa Saa 2 Ujauzito Ukaharibika

ASHA RAJABU (28) mkazi wa kijiji cha Samanga Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amesimulia namna alivyorukishwa kichurachura na mwenyekiti...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Wanafunzi Kukimbia Kipimo Kipya cha Corona

VIDEO inayosambaa mtandaoni inaonyesha madai ya uongo ya wanafunzi wa shule wakiwa wanakimbia kuchomwa chanjo ya corona kwa lazima.  ...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Wanachama 100 ACT Wazalendo Wahama, Agizo la JPM Latekelezwa Ubungo

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Sakata Ugonjwa Usiojulikana, Mganga Mkuu Chunya Yamkuta

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima, ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri...

READ MORE

Mume, Mke Wafariki Pamoja Katika Mazingira Tofauti

GIZA  nene limetanda katika kijiji cha Wari, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, baada ya mme na mke kufariki siku moja...

READ MORE

Papa Ateua Mwanamke wa Kwanza Sinodi ya Maaskofu

KIONGOZI  wa kanisa katoliki duniani,  Papa Francis,  amemchagua mwanamke wa kwanza kuwa katibu katika baraza la mkutano wa maaskofu.  ...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 8, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 8, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Tanzania Yapaa Nafasi 23 Mapambano ya Rushwa Duniani

TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa ambapo kwa mujibu wa taarifa ya taasisi ya utafiti ya kimataifa,...

READ MORE