×

Kaze: Tutaifunga Simba, Mbeya City Wajipange

CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa licha ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kupelekwa...

READ MORE

Roma Mkatoliki Awachana Wasanii wa Zamani

KUTOKA kwenye ukurasa wa Instagram anaoutumia msanii Roma Mkatoliki ame-post video akiwachana baadhi ya wasanii wa zamani kwa kusema wanawaangusha...

READ MORE

Rais Adai Kuna Watu Wanataka Kumuua

Rais wa Haiti Jovenel Moise ametangaza jana kuwa polisi wamewakamata zaidi ya watu 20, wanaoshukiwa kupanga njama za kumuua na...

READ MORE

Domayo Nje Mwezi Mmoja

KIUNGO wa Azam FC, Frank Domayo, anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja kutokana na kusumbuliwa na majeraha...

READ MORE

Waliohusika na Zabuni Zinazohusu Covid-19 Afrika Kusini Yawakuta

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema atachukua hatua ”kali” na ”stahiki” dhidi ya wazabuni wanaohusiana na virusi vya corona....

READ MORE

Kocha Simba Aukubali Muziki wa Azam FC

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mabao ambayo walifungwa jana Uwanja wa Mkapa yote yalikuwa mazuri jambo ambalo...

READ MORE

Mrisho Gambo: “Sijaridhika na Majibu” Spika Amtuliza – Video

  Spika wa Bunge Job Ndugai, amefurahishwa na swali lililoulizwa na mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo, kwamba Wizara ya...

READ MORE

GSM Yataja Faida za Kocha Mpya Yanga

YANGA MKURUGENZI Uwekezaji wa GSM na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Injinia Hersi Said, amezitaja faida kuu mbili...

READ MORE

Jaji TZ Achaguliwa Kuwa Jaji Mahakama ya Afrika

Jaji Imani Daud Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya...

READ MORE

Rwandair Yasitisha Safari Zake Sauzi

KAMPUNI ya ndege ya Rwanda, Rwandair, imesitisha kwa muda safari zake katika mataifa ya Afrika Kusini, Zimbabwe na Zambia.  ...

READ MORE

9 Wafa, 150 Hawajulikani Walipo Pande la Barafu Linapoanguka

WATU tisa wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 150 hawajulikani walipo baada ya pande kubwa la barafu katika safu ya...

READ MORE

Polisi Yakamata Silaha Haramu 160 Ruvuma

POLISI mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata silaha mbalimbali 160 zinazodaiwa kuwa ni haramu katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2020 pamoja...

READ MORE

Utapeli Unavyofanyika Kwenye Usajili Laini za Simu

KUMEKUWA na kasumba ya mawakala wanapofanya usajili wa laini za simu kumtaka mteja kurudia mara kadhaa kuweka alama ya kidole...

READ MORE

Mkuu wa Uchunguzi TAKUKURU Atoa Ushahidi Dhidi ya Kesi ya Gugai

  SHAHIDI ambaye ni Mkuu wa Uchunguzi na Usalama Katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Mtalai...

READ MORE

Saido Hali Yake Bado Tete Yanga

HALI bado ni tete kwa nyota wanne wa kikosi cha klabu ya Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, Yacouba Sogne, Dikson Job...

READ MORE

Msukuma: Miradi ya Mabilioni ya Pesa, Haina Impact kwa Taifa – Video

MBUNGE  wa Geita kupitia CCM, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, ameshauri mabilioniya fedha  yanayowekezwa na serikali kwenye miradi ambayo haizalishi,...

READ MORE

Apple Music yaja na Isgubhu, Dansi ya Kiafrika

APPLE Music imezindua Isgubhu, ikiwa ni hatua ya kukamilisha taswira halisi ya kile kiitwacho Africa’s Dance and Electronic Music, kwa...

READ MORE

Regina Ataka Ndoa Yake Ifungwe Hospitali

  HABARI ya mjini kwa sasa ni Tamthiliya ya Pazia, inazidi kuwashika mashabiki wa tamthiliya kutokana na kisa chake cha...

READ MORE

Tanzia: Mukhsin Mambo Afariki Dunia

  MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Jumatatu, Februari 8, 2021, akiwa nyumbani kwake nchini Marekani. Mambo,...

READ MORE

 Simba Yatenga Bilioni Sita Za Ubingwa

  MAKAMU mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Muhene ‘Try Again’ alisema katika uongozi wa klabu hiyo umekuwa...

READ MORE