×

Ligi Kuu Kurejea Februari 13, 2021

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kwamba mbilinge za VPL mzunguko wa 19, zitarejea dimbani Februari 13, 2021, huku...

READ MORE

Askofu Avuliwa Cheo kwa Kuzini na Mke wa Mtu

KANISA la Anglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji waKE WA ...

READ MORE

Biden Ashuhudia Chereko za Kuapishwa Kwake Akiwa Ikulu

RAIS Joe Biden alihitimisha chereko za kuapishwa kwake kwa kutazama milipuko ya baruti kutoka katika ghorofa ya Truman ya Ikulu...

READ MORE

Yanga Wazindua Kalenda Yao Ya Mwaka 2021

KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021. Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: “Kalenda ya timu...

READ MORE

Mbele ya Waziri Mkuu NMB Yajipanga Kusaidia Kufufuliwa Zao la Mkonge

Benki ya NMB imesema kuwa itahakikisha inaendelea kutoa huduma za kifedha kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika kufufua zao la...

READ MORE

Michael Sarpong Atimkia China

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong ameondoka nchini kimyakimya kwenda kushughulikia matatizo ya familia yake nchini baada ya wachezaji wa...

READ MORE

Live: NEC Yajibu Vikwazo Vya Marekani, Uchaguzi Mkuu 2020 | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Trump Amwandikia Biden Ujumbe, Auacha Ikulu

ALIYEKUWA rais wa Marekani, Donald Trump, amefuata angalau utamaduni mmoja kama ilivyo kawaida kwa marais wanaoondoka madarakani. Maafisa wa White...

READ MORE

Biden Aanza Kazi Kwa Kutengua Sera za Trump

RAIS  mpya wa Marekani Joe Biden ameanza kutengua sera kadhaa muhimu za Donald Trump, saa chache baada ya kuapishwa. Rais...

READ MORE

Walimu Wakuu Ludewa Waukubali Mradi wa Darasa Jifunze

BAADHI ya walimu wakuu wa shule za msingi zinazotekeleza mradi wa majaribio wa Darasa Jifunze ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 21, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 21, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mwanafunzi na Matroni Wanaodaiwa Kuchoma Moto Shule Wasota Rumande

  Bi Aisha Ali mkazi wa jinini Dar es Salam amejikuta akiangua kilio na kumwaga machozi katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Biden Awa Rais wa 46 wa Marekani – (Picha +Video)

Joe Biden amekula kiapo na kuwa rais wa 46 wa taifa la Marekani. Biden amekula kiapo mbele ya jaji wa...

READ MORE

Wagonjwa Wapya wa Saratani Waongezeka Tanzania

  TANZANIA  kuna ongezeko la wagonjwa wapya wa Saratani wapatao 50,000 na inakadiriwa kuwa, ifikapo mwaka 2030 kutakuwa na ongezeko...

READ MORE

Naibu Waziri Alipongeza Jeshi la Polisi

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Khamis Hamza Chilo (Mb) akiwasili katika ofisi za Makao...

READ MORE

Prof. Jay: Siyo Lazima Uimbe Matusi

MSANII mkongwe wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay, amewakemea wasanii kuendekeza kuimba mambo ya chumbani katika...

READ MORE

Alikiba: Kwangu Muda wa Kuvaa Ulishapita

  MSANII wa muziki Bongo, Alikiba amesema suala la uvaaji kwenye video zake halimsumbui tena maana mambo mengi ameshayapitia kwenye...

READ MORE

Dudubaya Kizimbani kwa Kumchafua Kusaga

  MSANII  wa Bongo fleva, Godfrey Tumaini (41) maarufu kama ‘Dudu Baya’, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Jijini...

READ MORE

VIDEO: Biden Kuapishwa Rais wa 46 wa Marekani

 RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden, ataapishwa leo Januari 20, 2021 na kuwa rais wa 46 wa Marekani akichukua...

READ MORE