×

Live: JPM Anazindua Kiwanda Cha Maziwa Karagwe Kagera

 RAIS Dkt John Magufuli, leo Januari 19, amezindua kiwanda cha maziwa kilichopo wilayani Karagwe mkoani Kagera… ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Taifa Stars Kuwavaa Zambia Leo CHAN

KUELEKEA kwenye mchezo huo, kocha wa Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije amesema “maandalizi yameenda vizuri, wachezaji wapo sawa. Kuhusu korona...

READ MORE

Mvua Yasababisha Maafa Songea

Mvua mkubwa iliyoambatana na upepo imesababisha maafa ya kuezuliwa paa katika madarasa matano, ofisi mbili na stoo moja kwenye shule...

READ MORE

Alichokisema Diamond Kuhudu Sakata la Baba Yake – Video

KWA mara ya kwanza wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ametoa kauli baada ya mama yake mzazi, Bi Sandrah kusema kuwa...

READ MORE

Uganda Yaishutumu Marekani ‘Kuingilia Uchaguzi Wake’

Msemaji wa serikali ya Uganda, Ofwono Opondo, ameishutumu Marekani kwa kujaribu “kupindua matokeo ya uchaguzi”, kwa mujibu wa chombo cha...

READ MORE

Chikwende: Chama, Luis Wamenivuta Simba

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Klabu ya Simba, Perfect Tatenda Chikwende amefunguka kuwa sababu kubwa iliyomfanya atue ndani ya kikosi cha...

READ MORE

Mafunzo ya JKT 2020/2021 Yasitishwa

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesitisha kwa muda mafunzo ya kujitolea ya JKT kwa mwaka 2020/2021 yaliyokuwa yaanze hivi karibuni...

READ MORE

Spika Ndugai Aanika Kamati za Bunge

Spika wa Bunge, Job Ndugai juana Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17. Taarifa...

READ MORE

Hersi Athibitisha Kuwakabidhi Mil 300 Nyota Yanga

Ni rasmi sasa ile zawadi ya Sh milioni 300 ambayo mabosi wa Yanga waliwaahidi wachezaji na benchi la ufundi la...

READ MORE

Video: Diamond Afunguka Ishu Ya Baba Yake

 Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, leo Januari 19, 2021 ameongea na wanahabari katika ofisi...

READ MORE

Waliotumuliwa Chadema Wapewa Rungu Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, jana Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku...

READ MORE

Magufuli Aitaka Wizara Kuanza Uchimbaji Nickel Haraka – Video

RAIS John Magufuli leo Jumanne Januari 19, 2021, ameitaka Wizara ya Madini kuhakikisha makubaliano kati yake na kampuni ya LZ...

READ MORE

Charity Group Watoa Msaada Kwa Wenye Mahitaji Maalum Tabora

Charity Group Tabora wameuanza mwaka kwa kuungana na kituo cha kulelea watu wenye mahitaji maalum cha Sisters of Charity kilochopo...

READ MORE

Bobi Wine Awekwa Kizuizini Nyumbani Kwake

WASEMAJI wa jeshi na polisi nchini Uganda wamesema mpinzani wa rais Yoweri Museveni Robert Kyagulanyi Bobi Wine ataendelea kukaa katika...

READ MORE

Atokwa Utumbo Njia ya Haja Kubwa Akidaiwa Kumuibia Mama Lishe

KUFUATIA kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi akiwa amechuchumaa huku utumbo...

READ MORE

Leicester City Kukiwasha na Chelsea Leo

Ligi Soka nchini Uingereza itaendelea tena leo usiku. Baada ya London Derby, tunakutana tena kwenye wiki ya 19 – Leicester...

READ MORE

Huyu Mnigeria Mpya wa Simba ni Noma!

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wamemwaga dola 70,000, ambazo ni sawa na Sh milioni 162 za Kitanzania, kukamilisha usajili wa...

READ MORE

DED Ubungo Atua Kwenye Shule Wanayokaa Chini – Video

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic, amesema kuwa ameyapokea maagizo ya Rais John Magufuli, na kwamba walikwishaanza kuchukua hatua...

READ MORE

Babu Miaka 80 Afia Gesti na Kibinti – Video

MWANAMME aliyejulikana kwa jina la David Makerege Mluli (80) amekutwa amefariki dunia ndani ya Hoteli ya Mbezi Garden iliyopo Mbezi...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 19, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 19, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE