×

Spika Ndugai: Mawaziri Msitoroke Vikao vya Bunge – Video

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka mawaziri na naibu mawaziri walioapishwa leo Jumatano Desemba 9, 2020, kuwa na...

READ MORE

Jamii Imetakiwa Kutofumbia Macho Vitendo vya Ukatili

JAMII imetakiwa kutofumbia macho vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikijitokeza kwani vinapunguza nguvu kazi ambayo ndiyo msingi wa maendeleo. Akizunguza...

READ MORE

Chadema Haijapoa! Yawakomalia Mdee, Wenzake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti...

READ MORE

Huyu Nd’o Naibu Waziri Aliyeshindwa Kuapa Mbele ya JPM

RAIS John Magufuli amesema atamteua naibu waziri mwingine wa madini baada ya aliyemteua Desemba 5, 2020, Francis Ndulane, kushikwa kigugumizi...

READ MORE

Nafasi za Kazi NNE – Destiny Work Recruitment Tanzania

Position: Office Assistant DESTINY WORK RECRUITMENT Job Description/Requirements   Our client is looking for a motivated Office Assistant who is an...

READ MORE

JPM Amtumbua Mkurugenzi Aliyenunua Gari la Mil 400 – Video

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri wa Ofisi ya Rais -Tamisemi, Suleiman Jaffo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa...

READ MORE

Ntibazonkiza Apewa Majukumu Mapya Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi ameweka bayana kwamba staa wake mpya Saidi Ntibazonkiza hatakuwa na kazi...

READ MORE

‘Haydom Marathon’ Mbio Zinaookoa Maisha

HAYDOM Marathon ni moja ya mbio zinazojulikana nchini kutokana na kushirikisha watu wengi kila mwaka tangu zilipoanza mwaka 2018, lengo...

READ MORE

Magufuli Agoma Kunyonga Wafungwa 256 – Video

RAIS John  Magufuli, amewapunguzia adhabu wafungwa 256  waliohukumiwa kunyongwa na kuagiza wapewe kifungo cha maisha gerezani.  Wafungwa hao ni wale...

READ MORE

TMK Wanaume Family ‘Wavamia’ Studio za +255 Global Radio – Video

Katika kipindi cha ‘BONGO 255’ cha Global Radio, leo Desemba 09, wanamuziki wanaounda kundi la TMK WANAUME FAMILY, wametinga na...

READ MORE

JPM Kumtumbua Naibu Waziri Aliyeshindwa Kuapa – Video

RAIS John  Magufuli amesema atafanya uteuzi mpya wa Naibu Waziri wa Madini baada ya aliyemteua, Francis Ndulane kushindwa kuapa.  ...

READ MORE

Kocha Simba Amuondoa Kwa Muda Luis

BENCHI la Ufundi la Simba limedhamiria kuwapa mapumziko mafupi nyota waliokuwa wakitumikia timu za taifa ili kuwaweka sawa kabla ya...

READ MORE

Bosi Simba Ataja Sababu za Kuwatupa nje Plateau

MKURUGENZIMtendaji Mkuu wa Simba (C.EO), Barbara Gonzalez, ametamba kuwa wana kila sababu ya timu yao kufika hatua ya makundi ya...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Multichoice Tanzania – Big Region Sales Manager

Big Region Sales Manager Company Name Multichoice Tanzania Sales Strategy Execution   Implement the sales strategy for the region to...

READ MORE

Maazimisho Ya siku 16 Kupinga Ukatili Yafanyika Kibiti

Maazimisho ya siku 16, yafanyika Wilaya ya Kibiti,Mkoani Pwani,ambapo Mbunge wa Wilaya hiyo,Twaha Ally Mpembenwe, pamoja na Mkurugenzi wa Willaya...

READ MORE

Carlinhos Hatarini Kukosa Michezo Yote Yanga 2020

NYOTA wa Yanga, Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ yupo hatarini kukosa michezo yote mitatu iliyosalia ya raundi ya kwanza kutokana na majeraha...

READ MORE

Kifo cha Mlinzi wa Mfanyabiashara Songwe Chaibua Mazito

KIFO cha kijana Baraka Haonga ambaye alikuwa mlinzi wa Mfanyabiasha Baraka Mwakalinga ‘Bajo’ mkazi wa Mbozi mkoani Songwe, kimezua sintofahamu...

READ MORE

KMC FC Kuwafuata Mtibwa Sugar Kesho Morogoro

Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kesho itaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

JPM Awaapisha Mawaziri, Awaonya Magrupu Mitandaoni – Video

RAIS  John  Magufuli leo Desemba 9, 2020, amewaapisha mawaziri na manaibu wao aliowateua tarehe 5 Desemba 2020, na akawaonya kutotumia...

READ MORE

Spika Ndugai: Tuendelee Kuangalia Sinema la Viti Maalam Chadema

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi la kuwaapisha wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema lilifuata utaratibu...

READ MORE