×

Shamsa, Amwomba Radhi Chidi Mapenzi Madongo Aliyomrushia

  MSANII wa Bongo Movie, Shamsa Ford, amevunja ukimya na kuamua kusamehe yale yote aliyokosana na aliyekuwa mume wake, Chidi...

READ MORE

Yanga Tunamaliza Mzunguko na Rekodi Leo

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kupambana kulinda rekodi zake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza mchezo wao...

READ MORE

Ticha J; Waziri Anayezidi Kutusua Kisiasa, ni Mtoto wa Mamalishe

JUMAA Hamidu Aweso ni mojawapo ya mawaziri vijana zaidi katika Baraza la Mawaziri lililotangazwa hivi karibuni na Rais John Magufuli....

READ MORE

WHO Yatuliza Hofu ya Virusi Vipya vya Corona

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna sababu ya watu kuwa na wasiwasi mkubwa kwa kuwa ni kawaida ya virusi...

READ MORE

Meneja wa Rubby – Hamish – Azikwa Kisutu – Video

ALIYEKUWA Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Ruby,  aitwaye Hamish ambaye wikiendi iliyopita alifariki dunia baada ya kupata ajali ya...

READ MORE

Ndugai: Kukaa Kijiweni, Kusubiri Ajira za Serikali Mtazamo Hasi

SPIKA Job Ndugai amewataka vijana kuacha fikra potofu ya kusubiri kuajiriwa na serikali, badala yake watumie fursa zilizopo kuibua miradi...

READ MORE

JPM Amteua Sivangilwa Mwengesi Kamishina wa Maadili

RAIS John Magufuli, leo, Desemba 23, 2020, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya...

READ MORE

Live: Mwili wa Dkt. Ng’wandu Waagwa Lugalo

  MWILI wa aliyewahi kuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Maswa na  Waziri, Dkt Pius Yasebasi  Ng’wandu, umeagwa leo...

READ MORE

Yondani Atua Polisi Tanzania

Aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani baada ya kukaa nje nusu msimu aamejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Bonge la Kiungo

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imesitisha mipango ya kumsajili kiungo mkabaji wa Plateau United ya nchini Nigeria, Isah...

READ MORE

Dalali: Wanachama Wamenipa Milioni Nigombee Simba

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, amesema kuwa, wanachama zaidi ya 50 wamemfuata kumtaka kuwania nafasi ya uenyekiti ndani...

READ MORE

Yanga Yaifukuzia Rekodi Simba

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji, unaambiwa timu hiyo...

READ MORE

Bosi Azam Akiri Mambo Magumu

HATIMAYEuongozi wa Azam FC, umekiri kuwa katika wakati mgumu kutokana na timu hiyo kukosa matokeo mazuri katika michezo sita iliyopita...

READ MORE

Vodacom M-Pesa Yalipa Wateja Gawio la TZS 3.9 Bilioni.

Kampuni ya simu inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC, inaendelea kuongeza thamani halisi kwa wateja, raia na nchi kwa ujumla.,...

READ MORE

Aliyewaleta Mukoko, Tuisila Awapa Yanga Jembe Jipya

HABARI ni kwamba, Kocha wa AS Vita ya DR Congo, Florent Ibenge ambaye alihusika kwenye dili za wachezaji Tuisila Kisinda...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Polisi: Wapo WaTZ Wahusika Mashambulizi Mpakani na Msumbiji

POLISI nchini imesema kwamba kuna raia wa Tanzania wanaohusika na mashambulizi yanayofanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania.   Kamishna wa...

READ MORE

Barcelona Yamvuruga Tena Messi

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na ttmu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo...

READ MORE

TCC Yatoa Vifaa Saidizi Zaidi ya 800 kwa Watu Wenye Ulemavu

KAMPUNI ya Sigara Tanzania (TCC Plc) imetoa vifaa saidizi zaidi ya 800 kwa watu wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitano...

READ MORE