×

RC Malima Aunda Kamati Kuchunguza Kuungua Bweni

MKUU wa mkoa wa Mara, Adam Malima, ameunda kamati kwa ajili ya kuchunguza moto ulioteketeza bweni la wavulana la shule...

READ MORE

Mkali Wenu: Alikiba Aliniomba Kumwandikia ‘Mediocre’

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Mkali Wenu,  ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kwamba alimwandikia wimbo wa Mediocre  msanii Alikiba ambapo...

READ MORE

Mavituz ya Carlos Carlinhos Canatisha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sifa tatu alizonazo kiungo wake mshambuliaji, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’.     Carlinhos...

READ MORE

The Weeknd Amwaga Povu Kukosekana Grammy

THE WEEKND, mhanga wa tuzo za Grammy, ameibuka na kuwatupia lawama watayarishaji wake kwamba ni wala rushwa,  mara baada ya...

READ MORE

Mondi Atoswa Tuzo za Grammy

HATIMAYE vipengele vya tuzo za Grammy 2021 vimetajwa rasmi usiku huu, ambapo Burna Boy wa Nigeria ameendelea kudhihirisha kuwa ndiye...

READ MORE

Kaka wa 21 Savage Adaiwa Kuuawa kwa Kuchomwa Kisu

KAKA wa rapa maarufu nchini Marekani, Shéyaa Bin Abraham-Joseph ’21 Savage’, aitwaye Terrell Davis ameuawa kwa kuchomwa kisu jijini London....

READ MORE

Urusi Yatishia Kuilipua Meli ya Marekani

SERIKALI ya Urusi imesema moja ya vikosi vyameli zake za kivita kimebaini kuwepo kwa meli nyingine ya kivita ya Marekani...

READ MORE

Mwanamme Afariki Ghafla Ndani ya Daladala

WASAFIRI waliokuwa wamepanda matatu (daladala) katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, waliingiwa na hofu, baada ya mwanamme mmoja kufa ghafla...

READ MORE

Kimenuka Chadema! Mdee, Wenzake Waitwa Kujieleza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema  hakiwatambui wabunge wanawake 19 wa viti maalumu wa chama hicho wakiwemo Halima Mdee,...

READ MORE

Walimu ‘Wadanganyifu’ Mitihani Darasa la 7 Kutua Takukuru

WALIMU waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri...

READ MORE

Zuchu Balozi Mpya Bidhaa za Tridea Cosmetics

Kampuni ya vipodozi ya Tridea Cosmetics, inayofuraha kutangaza kuingia makubaliano na msanii Zuhura Othman ‘Zuchu’, kuwa balozi wa bidhaa zake....

READ MORE

Kijana wa Miaka 24 Agombea Urais Uganda

KIJANA John Katumba ameandika historia nchini Uganda  kuwa  mgombea urais  binafsi mwenye umri mdogo akiwa na miaka 24. Katumba alizaliwa...

READ MORE

Benki ya Azania Yazindua Aina Mbili ya Kadi za VISA

BENKI ya Azania ikiwa katika maadhimisho ya kusherekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwake, leo imezindua huduma mpya ya kisasa ya...

READ MORE

Kampuni Mama ya SBL Yatangaza Mpango Endelevu wa Miaka 10

DIAGEO ambayo ni kampuni ya kimataifa inayoimiliki Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imetangaza  mpango madhubuti wa miaka 10 unaolenga...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 25, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 25, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kaze Aanika Siri ya Metacha Kuokoa Penati ya Namungo

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, ndiye sababu kubwa ya kipa wa kikosi hicho, Metacha Mnata, kucheza penalti ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risais kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Walanguzi wa Saruji Watangaziwa Kiama

WAFANYABIASHARA wanaouza saruji kwa bei ya ulanguzi, wameonywa kuchukuliwa hatua kadhaa, ikiwamo kushtakiwa na kufungiwa biashara. Onyo hilo limetolewa na...

READ MORE

RC Kunenge Atoa Maagizo JKT Kukabidhi Majengo ya Hospitali ya Ubungo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameridhishwa na hatua ya Ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya...

READ MORE