×

Mbowe, Wenzake Waachiwa kwa Dhamana

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, na viongozi wenzake Godbless Lema  na Boniface Jacob, wameachiwa...

READ MORE

Ajibu, Ndemla Wamkosha Mbelgiji Simba

MBELGIJI Sven Vandenbroeck, amefunguka kuwa amekoshwa na viungo wake wawili Ibrahim Ajibu na Said Ndemla ambao walifunga mabao kwenye mechi...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mwanza, Sare Yawapeleka Kileleni

Timu ya Yanga leo Novemba 3 imelazimishwa sare bila kufungana dhidi ya Gwambina katika mfululizo wa mechi za ligi kuu...

READ MORE

Ndugai Achukua Fomu Kugombea Uspika

Spika wa Bunge aliyemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili....

READ MORE

Dkt. Tulia Achukua Fomu Kuwania Unaibu Spika

Mbunge mteule wa Mbeya Mjini (CCM), Dkt. Tulia Ackson amesema hajachukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge la 12 ili...

READ MORE

Breaking: Zitto Akamatwa na Polisi Dar

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemkamata Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe,  akiwa Kituo...

READ MORE

Sven Amkabidhi Bocco Mikoba ya Kuiua Yanga

BAADA ya kubaini kuwa huenda Simba ikawakosa washambuliaji wake wawili tishio Chris Mugalu na Meddie Kagere kutokana na majeraha, kocha...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Baada ya...

READ MORE

Kocha Mwadui FC Apata Kigugumizi, Kisa Vichapo

KOCHA wa Klabu ya Mwadui, Khalid Adam amefunguka kuwa mpaka sasa bado hajajua tatizo ni nini ndani ya kikosi chake,...

READ MORE

Wanakijiji Wadaiwa Kukatwa Vichwa Msumbiji

TAARIFA kutoka Msumbiji zinasema kuwa wanamgambo wa Kiislamu wamevamia vijiji kaskazini mwa eneo la Muidumbe mkoa wa Cabo Delgado, Jumamosi...

READ MORE

Mgombea Urais Akamatwa na Wajeda, Polisi

MGOMBA urais nchini Uganda, Patrick Amuriat, amekamatwa katika mji mkuu wa Kampala katika makao makuu ya chama chake cha Forum...

READ MORE

Viongozi 20 Chadema Wakamatwa Singida

VIONGOZI 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida na kufikishwa mahakamani kwa...

READ MORE

Fraga Majanga, Nje Msimu Mzima

  MATUMAINI ya kiungo mkabaji wa Simba, Gerson Fraga raia wa Brazil kurejea uwanjani kwa msimu huu yamefutika baada ya...

READ MORE

Bobi Wine Ateuliwa Kuwania Urais Uganda, Akamatwa!

MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni msanii wa muziki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’,  ameteuliwa rasmi kugombea urais...

READ MORE

Furahia Deuces Wild Double Up Video Poker Kupitia Meridianbet

Kama unapenda kucheza Deuces Wild, utaupenda mchezo huu wa video kutoka Expanse Studios ambapo wild deuces zinaweza kukuongezea ushindi wako...

READ MORE

Adaiwa Kuua Mke, Shemeji kwa Shoka

JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mtuhumiwa Faraji Yunus (44), mkazi wa Kijiji cha Kikagati wilayani Muleba mkoani Kagera, kwa...

READ MORE

Tetemeko Uturuki: Wawili Zaidi Waokolewa Kwenye Kifusi

WATOTO wawili wa kike wameokolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoanguka siku tatu baada ya kutokea tetemeko la ardhi lililosababisha...

READ MORE

Sure Boy: Azam Tunataka Ubingwa

  KIUNGO wa Azam FC, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, amebainisha wazi kuwa licha ya kupoteza pointi tano kati ya sita...

READ MORE

Anayetuhumiwa Kupora Sanduku la Kura Asakwa

MKUU wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, amesema serikali inaendelea kumtafuta kijana anayedaiwa kukimbia na sanduku la kupigia kura wiki...

READ MORE

Yanga Kukiwasha na Gwambina FC Mwanza leo

TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020  kuivaa Gwambina  katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao...

READ MORE