×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Polisi Yatoa Onyo Wanaotaka Kuandamana

KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas, amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia mtu yeyote awe kiongozi wa chama...

READ MORE

Aliyempiga R.Kelly Gerezani Afungwa Maisha

MFUNGWA ambaye alihusika na kumpiga gerezani msanii wa miondoko ya Rnb R. Kelly ,amehukumiwa   kifungo cha maisha baada ya kukutwa...

READ MORE

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mgeni rasmi katika hafla ya hisani ya ‘Beauty Legacy Gala 2020 itakayofanyika Desemba 12, 2020 jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya mrisho Kikwete atakuwa mgeni wa heshima katika hafla ya hisani ya ‘Beauty Legacy...

READ MORE

Uwoya Vyuma Vimekaza Afunga Baa Yake Sinza

Vyuma vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamama na staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, kufunga baa yake ya...

READ MORE

Red Devils Kuwakaribisha Arsenal Leo Old Trafford

Leo Jumapili ni siku nzuri ikipambwa na soka lenye viwango thabiti katika Ligi ya Uingereza – EPL! Kuna kitu kizuri...

READ MORE

Prince Dube Akwama Kwa Dakika 270 Bongo

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube raia wa Zimbabwe, ameshindwa kufunga bao kwenye mechi tatu mfululizo ndani ya Ligi Kuu...

READ MORE

Solskjaer Amuhofia Arteta

BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anatarajia kuwa na mchezo mgumu mbele ya Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta...

READ MORE

Hatari Tupu! Mauno ya Wamama Vuvuzela Classic Modern Taarab

KUNDI la Vuvuzela Classic Modern Taarab usiku wa kuamkia jana iliwanyongesha mauno kinamama waliohudhuria onesho lililofanyika Ukumbi wa Open Air...

READ MORE

Balaa la Twanga Pepeta Usiku wa Manane

  BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inayotamba na wimbo wake mpya wa Mapenzi Sigala Kali, usiku wa kuamkia jana...

READ MORE

Lyyn Afunguka Penzi Lake Na Diamond – Video

 MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Irene Louis ‘Lyyn’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘maneno’, amefunguka...

READ MORE

Laptop Yafichua Hujuma Simba SC

HATIMAYE siri imefi chuka kuwa kompyuta mpakato ‘laptop’ aliyokuwa akiitumia mtendaji mmoja wa Simba ndiyo imeonyesha kuwa timu hiyo inahujumiwa...

READ MORE

NEC Yatoa Sifa Za Vyama Kupata Wabunge Viti Maalum

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa tayari imeshatoa fomu kwa vyama vya siasa ili kupendekeza majina ya wabunge watakaopata...

READ MORE

Dodoma: JPM Akabidhiwa Cheti cha Ushindi wa Urais -Video

RAIS John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha...

READ MORE

Uingereza Yatangaza Awamu Mpya Ya ‘Lockdown’

  WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson, ametangaza awamu ya pili ya Lockdown kwa muda wa wiki nne hatua hiyi...

READ MORE

Mondi Amponza Amber Lulu

SUPASTAA mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemponza sexy lady anayekiwasha kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber...

READ MORE

Rais Mteule Dkt. Magufuli Kuapishwa Novemba 5, 2020 Dodoma

Rais Mteule wa Tanzania, Dkt. John Magufuli Novemba 5, 2020 ataapishwa katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma katika hafla itakayohudhuriwa na...

READ MORE

Rayvanny apewa Ufalme wa Harmonize

KUMEIBUKA mjadala mkali juu ya ni msanii gani wa Bongo Fleva mwenye mafanikio zaidi kati ya Rajabu Abdul ‘Harmonize’ na...

READ MORE

Tommy Flavour Aeleza Kudumu na Lynn

MSANII mpya wa Bongo Fleva na memba wa Lebo ya King’s Music, Tommy Flavour ameeleza siri ya kudumu kwenye uhusiano...

READ MORE

Christian Bella atoboa siri ya Mobeto

MFALME wa masauti Bongo, Christian Bella ametoboa siri yake mwanamama Hamisa Mobeto. Bella ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, wazo la...

READ MORE