×

Kocha Mwadui FC Apata Kigugumizi, Kisa Vichapo

KOCHA wa Klabu ya Mwadui, Khalid Adam amefunguka kuwa mpaka sasa bado hajajua tatizo ni nini ndani ya kikosi chake,...

READ MORE

Wanakijiji Wadaiwa Kukatwa Vichwa Msumbiji

TAARIFA kutoka Msumbiji zinasema kuwa wanamgambo wa Kiislamu wamevamia vijiji kaskazini mwa eneo la Muidumbe mkoa wa Cabo Delgado, Jumamosi...

READ MORE

Mgombea Urais Akamatwa na Wajeda, Polisi

MGOMBA urais nchini Uganda, Patrick Amuriat, amekamatwa katika mji mkuu wa Kampala katika makao makuu ya chama chake cha Forum...

READ MORE

Viongozi 20 Chadema Wakamatwa Singida

VIONGOZI 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida na kufikishwa mahakamani kwa...

READ MORE

Fraga Majanga, Nje Msimu Mzima

  MATUMAINI ya kiungo mkabaji wa Simba, Gerson Fraga raia wa Brazil kurejea uwanjani kwa msimu huu yamefutika baada ya...

READ MORE

Bobi Wine Ateuliwa Kuwania Urais Uganda, Akamatwa!

MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni msanii wa muziki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’,  ameteuliwa rasmi kugombea urais...

READ MORE

Furahia Deuces Wild Double Up Video Poker Kupitia Meridianbet

Kama unapenda kucheza Deuces Wild, utaupenda mchezo huu wa video kutoka Expanse Studios ambapo wild deuces zinaweza kukuongezea ushindi wako...

READ MORE

Adaiwa Kuua Mke, Shemeji kwa Shoka

JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mtuhumiwa Faraji Yunus (44), mkazi wa Kijiji cha Kikagati wilayani Muleba mkoani Kagera, kwa...

READ MORE

Tetemeko Uturuki: Wawili Zaidi Waokolewa Kwenye Kifusi

WATOTO wawili wa kike wameokolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoanguka siku tatu baada ya kutokea tetemeko la ardhi lililosababisha...

READ MORE

Sure Boy: Azam Tunataka Ubingwa

  KIUNGO wa Azam FC, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, amebainisha wazi kuwa licha ya kupoteza pointi tano kati ya sita...

READ MORE

Anayetuhumiwa Kupora Sanduku la Kura Asakwa

MKUU wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, amesema serikali inaendelea kumtafuta kijana anayedaiwa kukimbia na sanduku la kupigia kura wiki...

READ MORE

Yanga Kukiwasha na Gwambina FC Mwanza leo

TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020  kuivaa Gwambina  katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao...

READ MORE

Wamarekani Kuamua Leo, Trump Au Biden

  RAIS wa Marekani, Donald Trump, na mshindani wake, Joe Biden, wamemaliza kampeni zao kwenye ngome zao muhimu huku kila...

READ MORE

Sasa Waweza Kununua Tiketi za Michezo Kidigitali na Tigo Pesa

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo na Kituo cha Taifa cha Kuhifadhi Data Kimtandao (NIDC), zimeungana kwa ajili ya...

READ MORE

Mwakinyo Namba 1 Tanzania, Apanda Nafasi Ubora Duniani

MWAKINYO aliyewahi kuwa namba moja Afrika na wa 14 duniani baada ya kumchapa kwa TKO, Samm Eggington wa Uingereza aliyekuwa...

READ MORE

Fei aanza kuota ubingwa mapemaaa

  KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema kuwa malengo yao kama wachezaji msimu huu ni kuhakikisha wanaipatia ubingwa...

READ MORE

Cedric Kaze Aitangazia kiama Gwambina

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mrundi Cedric Kaze, amefunguka kuwa licha ya mwenendo usio mzuri walionao wapinzani...

READ MORE

Kisa Uchaguzi: Majengo ya Serikali, Magari Yachomwa Moto

BAADHI ya wananchi wenye hasira mkoani Lindi, wanadaiwa kufanya uharibifu wa mali za umma ikiwamo kuchoma majengo ya serikali, binafsi...

READ MORE

Mkitoka Mkatambike! Matajiri 6 Waunganisha Nguvu Yanga

IMEFICHUKA kuwa viongozi wa Yanga wameunda kamati mpya ya Mipango na Ushindi inayoongozwa na mabilionea, Rais wa Makampuni ya GSM,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 3, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 3, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE