×

Nigeria: Davido Aongoza Maandamano Dhidi ya Polisi

NYOTA wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido),  ameongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi...

READ MORE

LeBron Shujaa wa Lakers

NYOTA wa Los Angeles Lakera ameibuka shujaa baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji wenye thamani zaidi katika fainali za ligi...

READ MORE

Buchosa: Shigongo Akoleza Moto Iligamba, Bulolo – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James,  jana Jumapili, Oktoba 11,...

READ MORE

Shinyanga: Amuua Mkewe kwa Madai ya Kuchepuka

MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Elia Shija (30) mkazi wa Kijiji cha Didia wilaya ya Shinyanga anashikiliwa na Jeshi...

READ MORE

Kaze Aanza Kazi Yanga

IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi, tayari ameanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kwa kutuma...

READ MORE

Sugu, Mkewe Wapata Mtoto, Wamwita ‘Freeman’

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr II...

READ MORE

Rotimi Atua Tuzo za Grammy

MWANAMUZIKI na mwigizaji staa wa Marekani ambaye pia ni mpenzi wa Vanessa Mdee, Olurotimi Akinosho a.k.a Rotimi, ametajwa kwenye orodha...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 12, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 12, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Meridian Bet, Lions Club Zasaidia Matibabu Ya Macho Bure

Kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet na klabu ya Lions, zimesaidia kampeni ya upimaji, matibabu na ushauri nasahaa ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Bad News: Moto Wazuka Mlima Kilimanjaro

    MOTO  umezuka  Mlima Kilimanjaro  jana, Jumapili, Oktoba 11, 2020, mchana na jitihada za kuuzima bado zilikuwa ainaendelea.  ...

READ MORE

Halima Mdee Afungiwa Siku 7 Kufanya Kampeni

Kamati ya Maadili imemfungia Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee kufanya kampeni kwa...

READ MORE

Job Ndugai: Sitagombea Ubunge Tena

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai,  leo Oktoba 11, 2020 amesema hii ni awamu yake ya mwisho kugombea...

READ MORE

CCM Yatoa Ratiba Ya Kampeni Za Magufuli Dar

Ratiba ya Mikutano ya Mgombea wa nafasi ya Rais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais wa Tanzania, Ndg. John...

READ MORE

Taifa Stars Yapoteza Mbele Ya Burundi Kwa Mkapa leo

TIMU ya Taifa Tanzania ya Tanzania leo imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi uliochezwa...

READ MORE

IGP Sirro Aagiza Uchunguzi Polisi Aliyemwambia Mbowe Hatashinda -Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, amesema timu kutoka Makao Makuu ya jeshi hilo iko mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Tanzania Vs Burundi – Mashabiki Wawapa Samatta, Msuva Mzigo -Video

 LEO Jumapili pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kukipiga dhidi...

READ MORE

Uchebe – “Nina Mpenzi Mpya, Mwanaume Hana Kifua Kama Mdoli Tu”- Video

 GLOBAL TV imepiga stori na  aliyekuwa mume wa mwanamuziki Shilole, Uchebe kuhusiana na maisha yake kwa ujumla baada ya...

READ MORE

Taifa Stars Tutoeni Kimasomaso Leo Uwanja wa Mkapa

LEO Jumapili pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kukipiga dhidi ya...

READ MORE

Dube: Nataka Kuwa Bora Zaidi

BAADA ya kufanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Septemba ndani ya Ligi Kuu Bara, straika wa Azam FC, Prince...

READ MORE