×

Alichokisema Rais Samia leo Baada ya kuapisha viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino – Video

Dodoma, Agosti 26, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa hotuba mara baada...

READ MORE

Azania Bank Kuendelea Kutoa Huduma Bora Kwa Taasisi za Umma

Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Dkt.Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa mkuu wa idara ya wateja wakubwa wa Benki...

READ MORE

Katibu wa CCM Wilaya ya Mafia, Salehe Kikweo Afariki Dunia

Katibu wa CCM Wilaya ya Mafia, Salehe Kikweo, amefariki dunia leo asubuhi akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Halmashauri ya...

READ MORE

Carabao Cup Ndio Ushindi Wako na Meridianbet

Je unajua kuwa ushindi wako siku ya leo upo Meridianbet kwenye mechi za Carabao Cup?. Mechi kibao kupigwa kwenye viwanja...

READ MORE

Kufutwa kwa Kesi ya Kikatiba Kupinga Dkt. Samia Kugombea Urais, Comrade Mgeja Awapa Onyo Kina Malisa na Polepole

SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Dunia Mpya ya Burudani na Ushindi Kutoka Ruby Play

Meridianbet kupitia kasino mtandaoni imezidi kupanua upeo wake na sasa inakukaribisha kwenye ulimwengu mpya wa michezo ya sloti kupitia mtoaji...

READ MORE

Ngao ya Jamii Septemba 16: Yanga Yazidi Kupiga Hesabu Dhidi ya Simba

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba...

READ MORE

CHADEMA Yamteua Gerva Lyenda Kuongoza Idara ya Habari

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua Gerva Lyenda kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi ya Habari na...

READ MORE

Liverpool vs Newcastle: Nani Kuibuka Kidedea EPL?

Katika kuendelea kuhakikisha kuwa Meridianbet haikuachi hivi hivi, Jumatatu ya leo wameamua kukupatia ODDS za kibabe kwenye mechi zote za...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lachunguza Tukio la Risasi Inayomuhusisha Dogo Janja Arusha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa mgombea udiwani kata ya Ngarenaro kupitia CCM, Abdulaziz...

READ MORE

Chrome City Yapagawisha Hustlers Kariakoo Na Manzese Kuelekea Uzinduzi Tanganyika Packers 

Agosti 26, 2025 – Dar es Salaam. Mishemishe na harakati za Kariakoo na Manzese zilinoga kipekee kwa ‘vibe’ la aina yake...

READ MORE

Kirumbe Shaaban Ng’enda Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Kirumbe Shaaban Ng’enda kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, moja ya jumuiya kuu...

READ MORE

Mganga Mfawidhi Akimbizwa Hospitali Baada ya Ajali ya Kushtua – Video

Mganga Mfawidhi wa Wilaya ya Arusha, Saidi Salimu, amepata ajali ya gari akiwa na gari yake ndogo aina ya Benz...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 25, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Angela Kairuki Achukua Fomu Ya Kuwania Ubunge Jimbo La Kibamba Kupitia CCM

Pazia la uchukuaji wa fomu za kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limefunguliwa rasmi leo, ambapo mwanasiasa mahiri Angela...

READ MORE

Nmb Yadhamini na Kushiriki Kikao Cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kwenye Kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma...

READ MORE

Wasira Amjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu CCM Zanzibar Dr. Sadala

Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira akimjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar ambae...

READ MORE

Vita Dhidi ya Kipindupindu Hanang’: Zaidi ya Wanafunzi 700 Wafaidika na Vyoo Vipya

Manyara 24 Agosti 2025: Kaya zenye vyoo bora nchini zimefikia asilimia 78 huku asilimia 1.2 hazina vyoo na kwa mkoa...

READ MORE

TRAMPA Yafika Gereza la Ukonga Kuonesha Matendo ya Huruma kwa Wafungwa

Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika kuelekea Mkutano wao Mkuu wa Mwaka wanaenda sambamba na kufanya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumapili, Agosti 24, 2025, ameshiriki Kongamano la Amani...

READ MORE