×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Chenga ya Kisinda Yateka Mechi Chamazi

CHENGA aliyopiga winga wa Yanga, Tuisila Kisinda, TK Master kwenye mchezo wa wa kirafiki dhidi ya Mlandege juzi, imezua gumzo...

READ MORE

TGNP Ilivyowafundisha Wajasiriamali Takataka Kuzigeuzwa Fursa

Baada ya Mtandao wa Jinsia nchini (TGNP) kutoa mafunzo ya kutengeneza nishati mbadala katika vikundi mbalimbali, kikundi cha Sauti ya...

READ MORE

Alcantara Aaga Rasmi Bayern

KIUNGO Thiago Alcantara ameandika barua ya kuuaga uongozi na mashabiki wa klabu ya Bayern Munich. Taarifa kutoka nchini Uingereza zinaeleza...

READ MORE

Singida: Jela Miaka 30 Kumbaka Mtoto Wake wa Kumzaa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Mtaa wa Kimpungua, Manispaa ya...

READ MORE

JPM: Kumbe Zitto Naye Anapanda Ndege Zetu! – Video

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho,...

READ MORE

Mke wa Carlinhos Alipamba Championi Angola

MKE wa kiungo mpya wa Yanga, Carlos Carlinhos, Katia Carapichoso Carmo ameonyesha kulikubali Gazeti la Championi baada ya juzi kuliposti...

READ MORE

IGP Sirro Aongezewa Mwaka Mmoja

Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika (EAPCCO) wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kuendelea...

READ MORE

Rais Belarus Aweka Jeshi Katika Tahadhari, Afunga Mipaka

BELARUS imesema imefunga mipaka yake na nchi za Umoja wa Ulaya. Lakini maafisa wa Poland wameielezea hatua hiyo kuwa ni...

READ MORE

Ujenzi Kituo cha Mabasi Mbezi Wafikia Asilimia 80

UJENZI wa Kituo cha Mabasi cha Kimataifa cha Mbezi Luis jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 80, hii ikimaanisha...

READ MORE

Meneja Amlaumu Mondi ‘Kumhujumu’ Tanasha

MENEJA wa msanii na mtangazaji Tanasha Donna, Jamal Gadaffi,  akiwa kwenye mahojiano alidai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz,...

READ MORE

Kuwa Gwiji kwenye Shindano la Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet!

Unataka kuweka zawadi yenye thamani ya TZS 25,000,000 mikononi mwako? Jiunge kwenye Shindano la Playson Legends kupitia kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Video: Kipindi Cha Front Page Mubashara Kutoka Jaws Corner Zanzibar

LEO Septemba 18, 2020 kipindi Front Page kinachoruka kila siku Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia +255 Global Radio kimeruka kutoka katika...

READ MORE

China Yaitaka Marekani Kuheshimu Ushindani Kibiashara

CHINA  imeitaka Marekani kuheshimu misingi na kanuni za soko la kiuchumi na ushindani wenye usawa.   Hayo yameelezwa na wizara...

READ MORE

Mondi Ampongeza Alicia Keys Kumshirikisha Albamu Yake

    MWANAMUZIKI staa wa Bongo Fleva nchini, Diamond Platnumz, amemtumia ujumbe wa kumpongeza mwanamuziki  wa Marekani, Alicia Keys, kutokana...

READ MORE

Gwambina Onyo Kali Wachezaji Kutokuwa na Soksi

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15,...

READ MORE

Ufafanuzi Anayejiita ‘Prof. Mohamed Janabi’ Mitandaoni

  TAASISI  ya Moyo  Jakaya Kikwete imewajulisha wananchi kuwa wazipuuze taarifa zinazotolewa kupitia ukurasa wa Twitter wa mtu anayejiita Prof....

READ MORE

Messi Ashinda Kesi ya Kutumia Nembo ya Jina Lake

LIONEL MESS sasa anaweza kusajili jina lake kama nembo baada kushinda mzozo wa kisheria wa miaka tisa, mahakama ya juu...

READ MORE

GGML Mdhamini Mkuu wa Maonyesho Teknolojia za Uchimbaji Madini

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ndiye mdhamini mkuu wa Maonyesho ya Tatu ya Teknolojia za uchimbaji madini...

READ MORE

Mgombea wa Mbatia Ajitoa Kwenye Kinyang’anyiro

  MGOMBEA ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mkinga Ugin Gidion, amejitoa katika kinyang;anyiro hicho huku mwenyekiti...

READ MORE