×

TikTok Yaikataa Microsoft, Yaungana na Oracle

  WASHINGTON: Kampuni ya Marekani ya Oracle imeikataa Kampuni ya Microsoft na kuingia makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara (Business Partner)...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Maziko ya Jaji Bomani – Pichaz

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza maziko ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hayati Mark Bomani kwa niaba ya Rais Dkt....

READ MORE

Rotimi wa Vanessa Mdee Aanza Kujifua Kiswahili

MPENZI wa msanii, Vanessa Mdee Rotimi, ameonekana akijifunza kuongea lugha ya Kiswahili ambapo alikuwa anafundishwa baadhi ya maneno na mpenzi...

READ MORE

Alichosema Neymar Baada ya Kupigwa Kadi Nyekundu

  NYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa ambao...

READ MORE

CHADEMA Yaandika Barua NEC

KATIBU  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),  John Mnyika,  amesema chama hicho kimeiandikia barua Tume ya Uchaguzi ya...

READ MORE

Bodi ya Ligi Kuvifungia Viwanja

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu nchini Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo,  amewataka wamiliki wa viwanja vinavyochezewa Ligi Kuu soka...

READ MORE

Kilichotokea Mahakamni Kesi ya Lissu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2020, imeahirisha kesi inayowakabili Tundu Lissu na wenzake...

READ MORE

Harmo Afunguka Kofia ya JPM

  STAA wa muziki na bosi wa lebo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul ‘Harmonize,’ amefunguka kupewa heshima ya...

READ MORE

Muna: Naenda Msikitini, Sipangiwi Imani

MTUMISHI wa Mungu na masanii, Muna Love, ameeleza kuwa hawezi kupangiwa kwenye imani na kuna wakati anaenda hadi msikitini kwa...

READ MORE

Country Boy Asimulia Harmo ‘Alivyomsevu’ Mafuta Usiku – Video

RAPA maarufu nchini ambaye hivi karibuni alisainiwa na Lebo ya konde Gang chini ya Harmonize, amefunguka mengi kuhusu ushikaji wake...

READ MORE

Miili 18 Waliokufa Mgodini Yapatikana

TAARIFA za wiki iliyopita zilieleza kuwa takriban wachimbaji 50 walifukiwa na kifusi baada ya mgodi mmoja wa dhahabu kuporomoka katika...

READ MORE

DC Vincent wa Musoma Azindua Duka la Vodacom Akiimarisha Mawasiliano

Mkuu wa wilaya ya Musoma (DC) , Dk. Vincent Anney Naano (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa...

READ MORE

JPM: Airport ya Chato Nitakwenda Nayo Kaburini? – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CCM), Dkt. John  Magufuli amewaponda baadhi ya viongozi na wagombea wanaotoka vyama...

READ MORE

Idris Sultan Alamba Shavu KISS Condom

Mchekeshaji maarufu hapa nchini amelamba shavu la ubalozi katika kondom mpya ya Kiss ambayo ni maalum kwa ajili ya kuzuia...

READ MORE

Yanga ilivyoibuka Kidume Ikiilaza Mbeya City 1-0

Kikosi cha Yanga jana kiliwagalagaza Mbeya City kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Mkapa...

READ MORE

Masau Bwire Aifuta ‘Mpapaso Square’, Aja na Hii

Msemaji wa wababe wa Mlandizi Pwani, Ruvu Shooting Masau Bwire baada ya kutamba msimu uliopita na msemo wake maarufu ‘mpapaso...

READ MORE

Viongozi wa Dini Wafurahia Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo GGML

VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Geita wamefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani humo na kueleza kufurahishwa na...

READ MORE

Kumekucha Yanga, Zabuni Ujenzi Uwanja Kutangazwa

KLABU ya soka ya Yanga imesema imekamilisha kazi ya michoro kwenye ujenzi wa uwanja wake wa Kigamboni jijini Dar es...

READ MORE

Cheka Amtwanga Mmalawi, Atwaa Ubingwa wa UBO

BONDIA wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia...

READ MORE