×

Trump Aapa Kulipiza ‘Mara 1,000’ Shambulio la Iran

  RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameapa kwamba shambulio lolote litakalofanywa na Iran litajibiwa mara 1,000 kwa ukubwa, baada ya...

READ MORE

Harmo: Naisimamisha Tena Dar!

STAA wa Bongo Fleva na bosi wa lebo kubwa ya muziki Bongo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul Kahali...

READ MORE

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yatoa zawadi za Kompyuta kwa wanafunzi walioshinda baada ya kuandika Insha kuhusu mazingira kwenye maadhimisho ya siku ya tabaka la Ozone

Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom  Tanzania Foundation , Sandra Oswald akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi...

READ MORE

Alichokisema Mkurugenzi wa NEC kwa Wanahabari

Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa...

READ MORE

Baada ya Mwanaye Kukondeana, Mama Wema Ataja Wauaji wa Mwanaye

VUNJA ukimya! Mama wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu amevunja ukimya na kuwataka wale wanaojadili kukonda kwa binti yake,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 16, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 16, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nchi 15 Kutuma Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020...

READ MORE

Huawei Yatoa Mafunzo Ya Teknolojia ya 5G Kwa Watumishi Wa Umma.

Watumishi 24 na wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (MWTC), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kampuni ya Mawasiliano...

READ MORE

TAMNOA Washiriki Warsha Kujadili Mbinu Za Kudhibiti Utapeli Kwa Simu

Katika warsha hiyo iliyoandaliwa na GSMA, kupitia mtandao au webinar, wawakilishi kutoka makampuni ya simu waliweza kuchangia mada mbalimbali. Kutoka...

READ MORE

Wolper Atulizwa Tuliii!

Pisi kali inayowakilisha tasnia ya Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe, amekiri kutulizwa tuliii na mpenzi wake mpya aitwaye Rich Mitindo....

READ MORE

Mpango Haramu Tanasha, Mobeto Kuvuruga Ndoa ya Mondi

Baada ya hivi karibuni Mwanamama anayefanya poa kwenye gemu la muziki nchini Kenya na mzazi mwenza wa mwanamuziki mkubwa wa...

READ MORE

Tundu Lissu Amlilia ‘Mr White’ ”Alikuwa Mtu Mwema”

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu  leo Septemba 15, 2020 ametoa pole...

READ MORE

Queen Darleen Afunguka Bifu Lake na Esma

Baada ya kuwepo kwa madai mazito kwamba, wapo kwenye bifu zito, hatimaye dada wa mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Gonjwa Linalomtesa Mbosso!

Staa mwingine wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi ‘Mbosso Khan’ amekiri kuteswa na...

READ MORE

Bosi Simba Ampa Morrison Ndinga,, Atuma Ujumbe Insta

BERNARD MORRISON kiungo mshambuliaji wa Simba ameonyesha furaha yake na kumshukuru  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji,’Mo’, ...

READ MORE

Kortini Wakituhumiwa Kuhujumu Uchumi, KutakatishaFedha

WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matano ikiwemo kosa la uhujumu uchumi na...

READ MORE

Infinix Zero 8; 64+48 Kamera Yazinduliwa Tanzania

Mara baada ya tetesi za muda mrefu juu ya ujio wa Infinix ZERO 8, hatimaye kampuni ya simu ya Infinix...

READ MORE

Mke Wa Carlinhos Adatishwa Na Mashabiki Yanga

MREMBO  Vanessa ambaye ni mke wa kiungo mpya wa Yanga, Carlinhos, raia wa Angola, amekuwa akionyesha mahaba yake waziwazi kwa...

READ MORE

Samia Afanya Kampeni Jimboni Madaba, Ruvuma

    (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

READ MORE

EU Kuipa Tanzania Bilioni 70 Kupambana na COVID19

Umoja wa Ulaya (EU) umesema uko tayari kutoa Euro 27 milioni (TZS 70 bilioni) kwa serikali ya Tanzania kwa lengo...

READ MORE