×

Zelensky Yuko Tayari Kukutana na Putin, Asema Mazungumzo ni “Hatua ya Amani”

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema yuko tayari kushiriki mazungumzo na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa hatua hiyo itasaidia...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yasherehekea Miaka 25 Kwa Bonanza La Michezo Arusha

Arusha, Tanzania – Vodacom Tanzania PLC imefanya sherehe ya miaka 25 toka kuanzishwa kwake kwa kuandaa bonanza la michezo jijini...

READ MORE

Diamond Amchana Mbosso: Lengo Ni Kutafuta Beef na Mimi, Utrend kwa Vitu vya Kijinga

Kivumbi kimezuka tena kati ya staa namba moja wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na msanii wake wa zamani wa WCB,...

READ MORE

Burkina Faso Yafukuza Afisa Mkuu wa UN Kufuatia Ripoti ya Ukiukaji wa Haki za Watoto

Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imefukuza afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini humo, Carol Flore-Smereczniak, baada ya...

READ MORE

Tiwa Savage Aweka Masharti Ya Mwanaume Anayemtaka

Muimbaji maarufu wa Nigeria, Tiwa Savage, ameibuka tena mtandaoni akizungumza wazi kuhusu maisha yake ya mapenzi na mwanaume anayemtaka kushirikiana...

READ MORE

Miaka 28 Ya Benki Ya Exim Tanzania Safari Ya Ukuaji, Ubunifu Na Kusonga Mbele Pamoja Na Wewe 

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki...

READ MORE

Meridianbet Virtuals, Burudani ya Papo kwa Papo, Ushindi wa Haraka

Dunia ya michezo ya kubashiri inabadilika kwa kasi, na sasa Meridianbet imeleta mapinduzi makubwa kupitia Virtual Betting. Hii ni nafasi...

READ MORE

CCM Yatangaza Rasmi Ratiba ya Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Wabunge

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vyake vya kitaifa ambavyo ajenda kuu itakuwa ni uteuzi wa wagombea Ubunge...

READ MORE

Polisi Pwani Wakamata Watu 10 kwa Njama za Uhalifu Kibaha – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za kupanga njama za kufanya uhalifu. Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 73 Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha...

READ MORE

Sababu ya Ndoa za Sasa Kuvunjika Mapema

NAMSHUKURU Mungu kwa kunilinda, kuniongoza na kunijalia pumzi bure ili nizungumze nawe kupitia safu nzuri ya maisha na uhusiano ya...

READ MORE

Nafasi 195 za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Umma

Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS) inawatangazia Watanzania wenye sifa stahiki kuwasilisha maombi ya kazi kwa ajili ya kujaza nafasi 195...

READ MORE

Tandika Jamvi Lako Mechi za Leo

Leo hii mechi nyingi zipo kwaajili yako wewe, suka jamvi lako la ushindi hapa na uondoke na mapene ya Meridianbet....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Bahati: Shujaa wa Tabora Anayeandika, Kupika na Kufua kwa Miguu – Video

Wakazi wa Tabora wanaomfahamu Bahati Iddi Nzimano (45) humuelezea kama mfano wa uvumilivu na uthubutu wa kuishi maisha kwa masharti...

READ MORE

Nyamlani ateuliwa tena kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais TFF

Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani, ameendelea kubaki katika nafasi...

READ MORE

Mwenyekiti wa BAWACHA Serengeti ajiunga ACT Wazalendo

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Resemary Kirigini, amejiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo....

READ MORE

DR Congo yakasirishwa na uteuzi uliofanywa na serikali ya Kenya huko Goma

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekosoa vikali hatua ya Kenya kuteua afisa wake wa kidiplomasia katika mji...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waandishi wa Habari Kanda ya Kaskazini Waaswa Kuheshimu Maadili Uchaguzi Mkuu 2025

Waandishi wa habari kutoka Kanda ya kaskazini wameaswa kuzingatia sheria na maadili huku wakitanguliza uzalendo kwa Nchi katika utekelezaji wa...

READ MORE